Kimetoa majibu yapi ya kisayansi kilisaidia kupatikana chanjo ya corona ugunduzi wa magari ndege drone simu etc !??Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Mbona ndege wanyama nao wapo hivyo hivyo mfano Kuna jamii ya nyani Wana rangi tofauti mijusi and the likes , simba chui paka , swala mbuzi Nyoka etc na wao waliumbwa Kwa udongo !?Hakuna, kama yupo mtu aje aseme...
Kwa tunao amini mwanadamu aliumbwa kwa udongo, pia tunajua udongo upo wa rangi tofauti tofauti na wenye tabia au rutuba tofauti.
Pia binadamu wapo wa rangi tofauti na tabia tofauti au akili tofauti.
Mfano: Afrika ina ardhi yenye rutuba nyingi na watu wenye afya imara na miili imara, pia kuna mimea iliyo fungamana yaani misitu, na nywele za waafrika asili yake ni kufungamana au kipilipili.
Na rangi ya machoKuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Kwa mujibu wa history na utafitiUmejuaje?
Je, kuna maswali yasiyokuwa na majibu?Ni swali ambalo halina muafaka.
Kila swali Lina majibu, hakuna swali lisilo na majibu hata siku moja. Changamoto ni kwamba yako maswali ambayo hatujafikia uwezo wa kuyajibu.Je, kuna maswali yasiyokuwa na majibu?
Tutayafikia lini kuyajibu?Kila swali Lina majibu, hakuna swali lisilo na majibu hata siku moja. Changamoto ni kwamba yako maswali ambayo hatujafikia uwezo wa kuyajibu.
Hakuna anaemjua binadamu wa kwqnza kwa sababu hakuna ambae alikuwepo wakati huo. Vilevile kwa wakati huo bado hapakua na civilization kwaiyo hatuwezi kupata kumbukumbu za picha, maandishi n.k.,Sawa, binadamu wa kwanza alikuwa na rangi ipi?
As long as tutaendelea ku evolve basi majibu yatapatikana.Tutayafikia lini kuyajibu?
Mabadiliko yanachukua muda mrefu sana. Zile stages of evolution kutoka dryopithecus, ramapithecus, australopithecus, homo habilis, homo erectus mpaka kufikia homo sapiens. Hapo kila hatua ilikua inachukua takribani miaka 80KKuna waafrika wako nje zaidi ya miaka 20, lakini bado wako na vipilipili vyao; unasemaje kuhusu hao?
Wanyama na wadudu au ndege hawajaumbwa bali Mungu alisema kuwa na wakawa. Binadamu ndiye aliumbwa kwa udongo.Mbona ndege wanyama nao wapo hivyo hivyo mfano Kuna jamii ya nyani Wana rangi tofauti mijusi and the likes , simba chui paka , swala mbuzi Nyoka etc na wao waliumbwa Kwa udongo !?
Kwahiyo afadhali tuamini tulikuwa masokwe?Bora theory ya organic evolution kuliko huko kwenye vitabu vya dini.
Una uhakika gani kama hizo 'stages' ni za ukweli, kama watu walijitungia tu?Mabadiliko yanachukua muda mrefu sana. Zile stages of evolution kutoka dryopithecus, ramapithecus, australopithecus, homo habilis, homo erectus mpaka kufikia homo sapiens. Hapo kila hatua ilikua inachukua takribani miaka 80K
Una uthibitisho upi, kuwa binadamu aliumbwa, na kwa nini sasa hivi hawaumbwi?Wanyama na wadudu au ndege hawajaumbwa bali Mungu alisema kuwa na wakawa. Binadamu ndiye aliumbwa kwa udongo.
Wakati Mungu anataka kumuumba mwanadamu, Alimuagiza Malaika wake aende duniani na alete udongo, malaika yule alibyofika duniani hakuchukua udongo sehemu moja bali alichukua katika kila kona ya dunia.
Ndiyomaana watu tupo wa rangi na tabia tofauti, kama ulivyo udongo una rangi na tabia tofauti.
Mfano ulaya kwa wazungu ukitazama ardhi yao au udongo wao sio wa rangi nyeusi bali mithili ya nyeupe au kijivu, pia miti yao sio ya kufungamana bali mirefu sawa na nywele zao.
Wewe umeleta hoja, unapewa majibu hutaki unaanza mambo ya kuthibitisha....Una uthibitisho upi, kuwa binadamu aliumbwa, na kwa nini sasa hivi hawaumbwi?
Kwanza huyo unayemwita mwandishi wa kitabu hana uwezo wa kuyaandika yaliyomo ndani ya hicho kitabu na ukitaka kuamini nikisemacho humo ndani ya kitabu mna chalenge imetolewa toka siku imetolewa mpaka sasa hajatokea wa kufanya hicho kitu je wewe uko tayari?Una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu na si maneno ya muandishi wa hivyo vitabu?
Vipimo vya kisayansi ndivyo vinathibitisha. Vilevile ugunduzi wa kisayansi ukishakua published ni lazima upitiwe na baraza la wanasayansi kabla haujaanza kufundishwa rasmi.Una uhakika gani kama hizo 'stages' ni za ukweli, kama watu walijitungia tu?
Scientifically chimbuko la binadamu wote ni moja, mtu mweusi. Hizo rangi ya ngozi, nywele, pua nk ni mabadiliko kutokana na uhamaji toka sehemu moja kwenda nyingine, na kukutana na hali tofauti ya hewa. Pia kuna uzao wa albino ambao tangu awali hali hiyo ipo.Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?