Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Angekuwa msomi angekuwa anaeleweka na ana reason. Mtafute elimu duniya kwa makafiri? Hawa watu wanawaambia acheni kukata watu vichwa, kulipua mabomu, kujitoa mhanga hamtaki fuata hayo. Acheni kuoa watoto wadogo waacheni wasome hamtak.Alisisitiza elimu na kusema itafutwe hata uchina kumbuka zama hizo hakuna teknolojia wala usafiri kama sasa
Na mungu alifanya makusudi kuleta mtu asiye msomi na kutupa habari zote hizo bila ya shaka, laiti angekuwa msomi tungebisha na kusema ametunga
Kwa sababu hayo mabadiliko yanachukua muda mrefu kuonekanaSwali, kwanini sisi tukienda/kuzaliwa kwao hatubadiliki?
Kiweke hapaIpo kwenye kitabu cha Henoko.
Tunaongelea rangi ya kuzaliwa ile inayobembwa kwenye Gene zako sio hizi za kushinda juani au kukaa kuoga....Hata wazungu wana tofautiana rangi ila wote ni weupe ,kuna wengine mpaka wana madoa ,ishu hzo ni za kimazingira ila il tangu nyeupe ambayo mtu akivua nguo unaona na ile nyeusi mtu hata ajichubue au atumie viponozi vya aina gani bado inabaki kwenye kuta za mapaja ,vidole au magoti.Hoja ya hali ya hewa na mazingira uwa nakubaliana nayo kwa mifamo kadhaa,hapa tanzania tu au East Africa utakuta watu wanafananana kutokana na kanda wanayotokea mfano ukiwaangalia wamburu,wamangati,wafiome,waasi wanafanana kutokana na mazingira wanayotoka the same applied to wamasai,watu wa mbeya iringa nk au wanyarwanda
Njoo Lushoto uone Albino walivyokuwa wazuri ,huku wana dili sana maana hawana madoa ,hamna jua kabisa ..Unakuta Albino safi wala hawavai kofia ,hali ya hewa ni safi .Unamkuta baba na mama ni weusi haswaaaa halafu anazaliwa mtoto albino - mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo
Pasifanyike chochote waache hivihivi ili tuendelee kucharuana na kuchanganyana!, mfano sasahivi nimewaza lile fuvu walilogundua Olduvai ni fuvu la mjomba wako!. sasa ukimind tunaacha mjadala tunaanza kudundana na hiyo ndio raha yake!..😂Nini kifanyike ili ukweli uweze kupatikana?
Huyo aliekuambia kampime alikuwa hajanywa konyagi kweli...?Tunaambiwa binadamu walianzia Olduvai Gorge
Labda wewe...🤣Ni sawa na vile vitabu vinavyoelekeza sisi tulikuwa sokwe.
Kwa nini tunajipa umuhimu kwa vitu tusivyokuwa na uhakika navyo? Huyo muumba yuko wapi, na una uhakika gani sisi ni mfano wake?elewa hadi sasa kiumbe binadamu ndicho kiumbe pekee hapa Duniani kilichoumbwa kwa mfano wa Muumba mwenyewe.
Haina tofauti na hadithi za sungura na fisi kuwa marafikiHapo zamani za kale kulikua na bwawa kubwa la maji safi lakini Yana tindikali kiasi. Kuna wasafiri wengi wote weusi walikua wanapita na wakaamua kuoga hapo. Kundi la kwanza watu elfu kadhaa wakatoka weupe yaani Wazungu. Kundi la pili wakatoka wamebabuka kidogo na wakawa na weupe kiasi yaani waasia kama waarabu wahindi wachina nk
Kundi la tatu ikawa maji hayana Tena nguvu ya tindikali wakaoga na kutoka vile vile weusi yaani waafrika.
Kwa hiyo mtu mweusi akienda kuzalia Japan, atamzaa mjapani?Human Evolution: Early humans migrated out of Africa and settled in different environments across the globe. Variation in climate, geography, and available resources led to adaptations over time, resulting in physical differences (e.g., skin color, hair type) among populations.
Kwa hiyo awa warabu, wahindi, wazungu n.k wana ulemavu wa muonekano wao?Unamkuta baba na mama ni weusi haswaaaa halafu anazaliwa mtoto albino - mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo
Uliumbwa au ulizaliwa?Uumbaji tu
Lilikuwa fuvu la mzungu, mwarabu au nani?Pasifanyike chochote waache hivihivi ili tuendelee kucharuana na kuchanganyana!, mfano sasahivi nimewaza lile fuvu walilogundua Olduvai ni fuvu la mjomba wako!. sasa ukimind tunaacha mjadala tunaanza kudundana na hiyo ndio raha yake!..😂