Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Haya mbona hayahitaji hata elimu ya darasa ya kwanza? Yapo tu wazi na sisi wasomaji Quran tunajua siyo siriKama unaamini ujinga huo wa kwenye movie lazima uliaminishwa pia iddi amini anakula nyama za watu, haya ndio madhara ya poor education mnayoipata
Ukienda Ulaya. Bila mlo mzuri utakufa kwa kukosa vitamin D. Mtoto wako mweupe mweupe atasurvive. Ndiyo maana nchi za baridi zina weupe tu.Mbona hali ya hewa haiendelei kutubadili kwa sasa? Nikienda ulaya nitabadilika kuwa mzungu?
Watu wana rangi tofauti za ngozi kwa sababu ya tofauti za kijeni na mazingira wanayoishi. Sababu kuu ni:Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Mimi ni mrusi, kwa hiyo binadamu wa kwanza alikuwa mrusi?Kwa jinsi lilivyokubwa vile lile ni lakwako...😂
Ni kitu gani kinachokulazimu uwaamini hao wataaamu?Wataalamu mbalimbali wametumia vigezo mbalimbali kudadisi.
Sokwe ana macho mangapi, na wewe una macho mangapi?Mh! unanitafutia ban...🤣
na hao neandertal walitoka wapi?Babu zetu walipofika huko Ulaya wakachakata K za Neandertal wakatuletea hawa maaalbino mbayoita wazungu
Umejuaje?Binadamu wa kwanza alikuwa na rangi ya kahawia kahawia ndio rangi iliyobeba combination ya rangi zote kadri walivyosambaa duniani ndivyo walivyobadilika kulingana na hali ya hewa na tabia nchi.
Una hoja, usikilizwe.!
!
No Reforms No Election
Who made Allah?This verse from the Qur'an teaches us that Allah has made us all equal in His eyes but provided us with varying nations and races to allow us to know each other
Hii kidogo inaweza kuleta maanaKatika evolution mabadiliko ni mchakato ambao unaenda taratibu sana. Mpaka tofauti ionekane inaweza kupita labda miaka 10,000 kwaiyo hakuna ambae atayaona mabadiliko kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa sababu hakuna binadamu anaweza kuishi miaka 10,000.
Wewe sasa hivi ukiamishia makazi yako jijini London haiwezekani ukakaa pale miaka 30 halafu nywele na ngozi ikabadilika na kuwa mzungu. Hali ya hewa mpaka iguse kwenye genes na kusababisha mabadiliko ni mchqkato mrefu. Kwaiyo kama uzao wako utaendelea kuwepo hapo hapo London maana yake miaka takribani laki moja ijayo ndipo gene yako inaweza kuwa imebadilika na kizazi chako kikatoa mtoto mzungu
Hizi zote ni hadithi za kusadikikaAfu tunaambiwa tulikuaga nyani, ila hamna nyani wa dizaini zao.....dah
Una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu na si maneno ya muandishi wa hivyo vitabu?Mission aliyopewa Binadam ni tofauti na vitu ulivyovitaja.
yaani ni sawa useme gari likifa linaenda wapi?
Mungu anatwambia hakumba Majini na watu ila wamuabudu kwa mantiki hiyo wewe upo kwa ajili ya kumwabudu aliyekuumba hivi vitu vingine vipo kwa ajili ya kulahisisha maisha ya uwepo wako hapa Duniani na ndio maana tunatofauti kubwa na hivyo ulivyovitaja.
Una swali uliza.
Aya, tuendelee na utafiti.Imani haina majibu.
Imani haitoi majibu.
Majibu hayaji kwa imani.
Majibu yanakuja kwa utafiti, udadisi na uchunguzi wenye ukweli na uthibitisho.
Sawa, binadamu wa kwanza alikuwa na rangi ipi?Watu wana rangi tofauti za ngozi kwa sababu ya tofauti za kijeni na mazingira wanayoishi. Sababu kuu ni:
1. Melanin – ni kemikali kwenye ngozi inayotoa rangi. Watu wenye melanin nyingi huwa na ngozi nyeusi; wenye kidogo huwa na ngozi nyeupe.
2. Mazingira – watu wa maeneo ya jua kali (kama Afrika) walihitaji melanin zaidi kwa ulinzi dhidi ya jua. Wanaotoka maeneo ya baridi au yenye mwanga mdogo (kama Ulaya) wana melanin kidogo.
3. Urithi wa asili ya koo – rangi hurithiwa kutoka kwa wazazi na mababu
Kwa mfano, wakibadilishana mazingira kwa sasa, kutatokea mabadiliko yoyote?Mazingira ndio yameleta utofauti. Sio rangi tu hata maumbo ya mwanadamu, kuna maeneo kuna giants na maendeo kuna dwarfs.