Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Yan Poor Brain ungepakwa parachutiiiiii. Hamba banaaa isingetokeaaaaaaa. Sema pm nenda akitoa mzigo kulaaaaaa ila akili muhmu na tahadhari🀣🀣
 
Yan Poor Brain ungepakwa parachutiiiiii. Hamba banaaa isingetokeaaaaaaa. Sema pm nenda akitoa mzigo kulaaaaaa ila akili muhmu na tahadhari🀣🀣
Astakafillah 😁😁😁😁😁😁😁
Uchira 1 kumbe na wewe ni kijana hovyo et πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sheeeenziiiii kabisa
 
cocastic sasa umeridhika mpaka kina uchira wanaanza kuniandama...
Mambo ya parachutiii sijui ndo nini sasa 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬

Coca ulipo nipo wee endelea tuu nikikudaka utajua haujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HAhha haaa hiyo ni lubrc🀣🀣🀣🀣 ila hiyo si comment yangu ni ya kiπŸ‡
 
Bado nipo na wa huku huku dodoma..
Mi lengo langu now nije kukaa dar mkuu.

Ndo nipo mbioni kutafuta mshangazi wa dar huko ila hawa kina coca jau mno
Huyo ni dume aliehama Kijiji/zizi

We fanya kilichokuleta dar utapata mishangazi humo humo kazini, usitafute mshangazi we saka πŸ’ΈπŸ’Έ utapata tu
 
HAhha haaa hiyo ni lubrc🀣🀣🀣🀣 ila hiyo si comment yangu ni ya kiπŸ‡
Daaah aiseeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu ndani nawapa heshima yenu aiseeeee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…