Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Mi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijui[emoji16][emoji16][emoji16]

Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em mtajee
 
Back
Top Bottom