Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Ungemsamehe tu mkuu. Kila kipindi cha maisha kina high class wao ni sawa na shule ya msingi. Wakali wa Mathematics na English waliheshimika
 
Duu enzi za matriculation ,ivi ule mtihani ulikuwa una manufaa Gani jamani
 
Sikuwah kuwaza kusoma udsm wala udom, kwakweli.....

Ninashangaa watu waliosoma na wanaosoma udsm wana vyoji proud nashangaa tuu....

Nimeishi changanyikeni two yrs napita hapo nacheka tuu πŸ˜‚ nikiona ud students
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…