Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

hi mada naona ukweli imechangamkiwa sana Ahsante Mleta mada. Na ukweli upo wakati mpo pamoja mnataka kujikumbusha ghafla SIMU ikahita kama ya kwangu au ya mwezangu basi naona hapo safari imeshaingiliwa na kasoro.
 
simu ni tatizo hapa pande zote mbili zikubaliane
kutoa mlio simu na kuweka mbali
maana kuzima ni ngumu coz wengine huwa wanafanya kazi na simu so ni vyema kutoa mlio kuweka pembeni wakati wa mapuzmiko uanaangalia kama kuna msg au sim ya mtu
au laah unaangalia mkimaliza kabisa
 
Bora uzime Simu.ili uepuke na maswali ya ugonvi wa bure
 
hizo ndo zinanibamba..hata kama ni za uongo na kweli

ngoja nikupe kisa kimoja japo kwa ufupi
wakati nasoma chuo kuna kaka mmoja ki ukweli alikua ni mgentle na alikua kapanga mtaani lakini cha ajabu alikuwa single na alikua adumu na demu
hata mimi nilishawahi uliza huyu mbona malaya malaya inakuaje
wakati kila mtu anauliza hivyo kumbe nawengine wanajipeleka na nini na kujaribu

sasa siku moja wakati tunajadili huyu kaka kuna dada mmoja akasema jamani nyie acheni tu muoneni hivyo hivyo
tukauliza kwani vipi akaanza kusema huyu kaka ametembe na flani na fkani na wote wamemuacha na sio yeye anawaacha
tukauliza why??

akasema bwana huyu jamaa akikaribia kukojoa
anaanza
nakuja(kwa sauti ndogo
nakujaaaa(inaongezeka kidogo)
nakujaaaaaa(inazidi kuongezeka
.
.
.
,
nakujaaaaaaaaaaaaaaaaaa(hapo kamaliza ni paaa linatikisika)
hiyo ikawa kero kwa huyo demu namba one
namba two alijilengesha na alikua anajua hii stor akasema ebwaanaa nitavumilia lakini kablda hawajafanya lolote akamwambia bwana kuna stor nimeisikia kwamba ukikaribia kuwatoa jamaa unapiga sana kelele
jamaa akasema hapana ilitokea tu SIPIGI
wakaingia kunako kitanda
jamaa akaanza(wakati anakaribia)
sipigi(kwa sauti ndogo
sipigiiiii(kwa sauti ndoko tena
sipigiiiiiii(sauti ikawa kubwa
sipigiiiiiiiiiiii(sauti ikaongezeka
.
.
.
.SIPIGIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII(akawa amemaliza
wakasikia mlangomu unagongwa maana keleele iliyotoka walijua kuna anaechinjwa ndani
 
yaah kwa sasa nikijaga dar kuna mtoto wa kichaga nimemkamatia ni fundi kwelikweli michezo yote anajua hadi pete anatoa,uwiii lazima nije nae mombasa

so hana tatizo
mkiingia faragha???
ni non stop?
 
Ile kitu haiitaji kanuni nyingi sana na complication ni popote na saa yoyote kwa wale wenye wake zao na wanaishi bado hawana mtoto, lakini pia kwa wapenzi wanaotembeleana au kwenda sehemu kwa ajili ya hilo tu.

Kipi kinakukera mpenziwe anavyofanya au kusema wakati wewe akili yako imefunga mafaili yote lililopo ni moja tu juu ya meza, kula maraha unakuta mnataka tu kuingia ile pepo baby anasema "ngoja nikaoge" mmeanza unasikia kwa mashosti "ile laki unajua naihitaji sana "wanaume "ngoja nipumzike kidogo"

Binafsi hukereka zaidi na hii kuzungumza habari za ''hela, kazi'' wakati tunataka kufanya mapenzi. Tafadhali tumia lugha ya staha kueleza kero yako tunaweza kujifunza kwamba upande huu haupendi hiki na upande ule haupendi hiki kumbuka hapa sio JLW kwahiyo samahani halahala.
Kuombana pesa wakati Wa mgegedo haifai
 
ngoja nikupe kisa kimoja japo kwa ufupi
wakati nasoma chuo kuna kaka mmoja ki ukweli alikua ni mgentle na alikua kapanga mtaani lakini cha ajabu alikuwa single na alikua adumu na demu
hata mimi nilishawahi uliza huyu mbona malaya malaya inakuaje
wakati kila mtu anauliza hivyo kumbe nawengine wanajipeleka na nini na kujaribu

sasa siku moja wakati tunajadili huyu kaka kuna dada mmoja akasema jamani nyie acheni tu muoneni hivyo hivyo
tukauliza kwani vipi akaanza kusema huyu kaka ametembe na flani na fkani na wote wamemuacha na sio yeye anawaacha
tukauliza why??

akasema bwana huyu jamaa akikaribia kukojoa
anaanza
nakuja(kwa sauti ndogo
nakujaaaa(inaongezeka kidogo)
nakujaaaaaa(inazidi kuongezeka
.
.
.
,
nakujaaaaaaaaaaaaaaaaaa(hapo kamaliza ni paaa linatikisika)
hiyo ikawa kero kwa huyo demu namba one
namba two alijilengesha na alikua anajua hii stor akasema ebwaanaa nitavumilia lakini kablda hawajafanya lolote akamwambia bwana kuna stor nimeisikia kwamba ukikaribia kuwatoa jamaa unapiga sana kelele
jamaa akasema hapana ilitokea tu SIPIGI
wakaingia kunako kitanda
jamaa akaanza(wakati anakaribia)
sipigi(kwa sauti ndogo
sipigiiiii(kwa sauti ndoko tena
sipigiiiiiii(sauti ikawa kubwa
sipigiiiiiiiiiiii(sauti ikaongezeka
.
.
.
.SIPIGIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII(akawa amemaliza
wakasikia mlangomu unagongwa maana keleele iliyotoka walijua kuna anaechinjwa ndani
huyu jamaa ni mjasiriamali wa mapnz..naona alifikiria atoke vipi..ndo akaamua awashike kwa style hiyo..na kweli kawapata..demu anaenda kuhakikisha alichokisikia ila mwisho wa siku mapaja lazima yatawanywe
 
hapana hakua mjasiria mali
hiyo hali ilimuhuzunisha sana
na alikua mpweke na mara nyingi alionekana peke yake
 
Back
Top Bottom