kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
nagugumia tu na kutoa mimacho teh twh
Au unasoma gaazeti tu....hiyo kero siipendi kabisa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nagugumia tu na kutoa mimacho teh twh
Inapaswa iwe siku nyingine mbali na siku hiyo vinginevyo ntaona kama ananiuzia
Au unasoma gaazeti tu....hiyo kero siipendi kabisa!!!
Kuna mdingi ana mke, na anamkula kabint mke wa mtu. Hii scenario haiaplai pale?
toa experience yako bibie.....
Mi nachukia simu yaani ikibidi wote mzime simu muda huo.
Na kujifanya wanalala eti anapumzika saa nzima hadi stimu inaisha lol.
Kuna mtu wangu asiione hii
kwa kura za hapa imeonekana simu inakera watu wengi
mmmhhh baada ya round moja mtu anataka mpumzike lisaaa????kweli hii kero
Inakua 10 min ila utashangaa mtu anakoroma unamsaidiaje.
simu ni tatizo hapa pande zote mbili zikubaliane
kutoa mlio simu na kuweka mbali
maana kuzima ni ngumu coz wengine huwa wanafanya kazi na simu so ni vyema kutoa mlio kuweka pembeni wakati wa mapuzmiko uanaangalia kama kuna msg au sim ya mtu
au laah unaangalia mkimaliza kabisa
ngoja nikupe kisa kimoja japo kwa ufupi
wakati nasoma chuo kuna kaka mmoja ki ukweli alikua ni mgentle na alikua kapanga mtaani lakini cha ajabu alikuwa single na alikua adumu na demu
hata mimi nilishawahi uliza huyu mbona malaya malaya inakuaje
wakati kila mtu anauliza hivyo kumbe nawengine wanajipeleka na nini na kujaribu
sasa siku moja wakati tunajadili huyu kaka kuna dada mmoja akasema jamani nyie acheni tu muoneni hivyo hivyo
tukauliza kwani vipi akaanza kusema huyu kaka ametembe na flani na fkani na wote wamemuacha na sio yeye anawaacha
tukauliza why??
akasema bwana huyu jamaa akikaribia kukojoa
anaanza
nakuja(kwa sauti ndogo
nakujaaaa(inaongezeka kidogo)
nakujaaaaaa(inazidi kuongezeka
.
.
.
,
nakujaaaaaaaaaaaaaaaaaa(hapo kamaliza ni paaa linatikisika)
hiyo ikawa kero kwa huyo demu namba one
namba two alijilengesha na alikua anajua hii stor akasema ebwaanaa nitavumilia lakini kablda hawajafanya lolote akamwambia bwana kuna stor nimeisikia kwamba ukikaribia kuwatoa jamaa unapiga sana kelele
jamaa akasema hapana ilitokea tu SIPIGI
wakaingia kunako kitanda
jamaa akaanza(wakati anakaribia)
sipigi(kwa sauti ndogo
sipigiiiii(kwa sauti ndoko tena
sipigiiiiiii(sauti ikawa kubwa
sipigiiiiiiiiiiii(sauti ikaongezeka
.
.
.
.SIPIGIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII(akawa amemaliza
wakasikia mlangomu unagongwa maana keleele iliyotoka walijua kuna anaechinjwa ndani
sasa simu ikilia ukisema iache tu mwanamke mwingine anaona labda mchepuko anakulazimisha upokee!!! asikie ni nani.....mi naipiga silent halafu naiweka mbaliiii!!!!
Wewe tunaomba hela tu
Inawezekana hiyo Ndio ulikuwa style yake ya kuwapata....
hapana alikwa ni mtu wa huzuni nyingi
Dah nakujaaa....sipigiiii...nadhani ya MTU wa mwisho ilikuwa sio kweliiiiiiiiiiiii!
Hata sijui kwa sababu sisikilizagi chochote.