masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #301
Hiyo inaeleweka tatizo wengine ni kila siku usingizi awe kachoka hajachoka ye usingizi tu akishamaliza yy imetoka
mood yaake ipo chini sana may be kwa mpenziwe
jaribu kuzungumza na mwenzio
lakini wakati unafanya hayo unaweza ukaanza kufanya trial and error
kama mnaishi pamoja
wakati akiwa anarudi kutoka kazini faa vizuri nguo nzuri nyepesi na za kutega
kwa mfano kama mpo wawili tu
unaweza ukafunga kamtandio kepesi tu na kablauzi kaki mikono wazi kanachovutia
vaaa shorts na nukia pale anaporudi,usioneshe kukereka akiwepo
andaa vyema chakula
kama haupo busy akikisha mara kwa mara wewenndo unamuandalia chakula (kwa wale wenye hausg
hata kama una unapokwenda nywele,na mavzi kaikisha vinakua visafi
weekend kama hivi tengeneza chumbankiwe romantic
jamani tena
kama mnaishi wawili nadhani ni rahisi sana kuitatua hiyo kero
cha mwisho mi naona zungumza na mwenzio,mpe muda wa kupumzika na USIWE UNATEGEA sio yeye tu ndo aanze kukuvua nguo kila siku
sio yeye ndo ajihangaishe mwenyewe mpaka jamaa asimame
mwanamke kuwa mbunifu msimamishe jamaa wewe hapo
wanaume ukereka pale anapotumia nguvu nyingi kuridhika wakati wewe unamshangaa tu
KUWA MALLAYA KITANDANI
wanaume wachache....upo?