Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

nafahamu vizuri ndo maana nikasema
changanya zote
ndom,withdraw na kalenda

najua ovarian cycle and how inavyokua kipindi cha ovulation hamu inakua juu kutokana na muda ulenyai linakua limeiva linasubiri fertilization katika oviduct
hapo hormones zinakuwa busy nyingine kutengeneza kuta za uzazi,nyingine maziwa na mazingira ya kumpojea mtoto
so hamu inakua iko juu kutokana na hilo swala zima la high level of ostrogen na hormones zingine za kike

sasa my dear hapo njia tatu tu ndo nzuri
tjose two natural methods
1,kalenda
2.COITUS

na hiyo ndomu baasi

japo zina percentage za accuracy zake my dear
sio 100%

Thax dada. Pamoja sn
 
With draw hapana lol, hapana kumtesa mpenzi. Na kama hayuko smart lazima uweke mikono kumkichwa.

my dear lazima uchanganye zote 3
bila hivyo ni kutesana tu
kwa mfano mi nikiwa ovulation sitaki kuisikia ndomu kabisa natamanigi isiwepo
lakini sasa ndo hatari hatarii

hapo hapo ukisema msitumie afanye withdraw unamtesa tu ni sawa na kumumunya pipi kutema mate nje
so ni bora nusu nusu
ndomu kipindi hiki ambacho hauko ovulation inakua kavu
ila kumbuka kupima muhimuna pia uwe tayari kwa lolote maana hata ukiwa ovulation zinapasugaga hizo
 
Hiii ya withdraw hapana kwakweli, uongo mwingi

kuna saa situation inakua critical
inakua hamna jinsi hahaah ila ina i think 80%accuracy 0% at ur own risk

yaani namaanisha akiweza kutoa kabisa ni aslimia 80 tu zinaweza zikawa hazijatangulia ikulu
 
Ungejua hadi sasa sina hata wa dawa!! Mimi nafanya withdrawal baaas!!

kama una imudu basi pongezi
sipendi ndomu ila sasa inabidi maana ni wachache sana wanamudu hii na pia
watu sio waaminifu ni vyema kutumia protection
 
Back
Top Bottom