Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Mi nachukia simu yaani ikibidi wote mzime simu muda huo.
Na kujifanya wanalala eti anapumzika saa nzima hadi stimu inaisha lol.
Kuna mtu wangu asiione hii

kwa kura za hapa imeonekana simu inakera watu wengi

mmmhhh baada ya round moja mtu anataka mpumzike lisaaa????kweli hii kero
 
Inakua 10 min ila utashangaa mtu anakoroma unamsaidiaje.

kuna mahali nilikuwa nasoma kipindi flani
watu walikuwa wanalalama why tukimaliza kumake love mpenzi wangu anaangalia upande wake hanikumbatii wala hana habari namimi
akajibiwa

mwanume akimaliza ile round anakua kachoka sanaa jambo hili linaweza mfanya hata akakoroma kabisa
ni vyema kufanya mapenzi wakati wote mkiwa mko fresh i mean hamjachoja sana kama una hamu na mpenzi wako kachoka ni vyema ukamuacha apumzike umuamshe baadae
hiyo itasaidia
kuliko kukereka pale atakapomaliza akwambie ngoja nipumzike ni bora mkawa wote na nguvu na mood
 

sasa simu ikilia ukisema iache tu mwanamke mwingine anaona labda mchepuko anakulazimisha upokee!!! asikie ni nani.....mi naipiga silent halafu naiweka mbaliiii!!!!
 

Inawezekana hiyo Ndio ulikuwa style yake ya kuwapata....
 
sasa simu ikilia ukisema iache tu mwanamke mwingine anaona labda mchepuko anakulazimisha upokee!!! asikie ni nani.....mi naipiga silent halafu naiweka mbaliiii!!!!

mpenzi wakonatakua anafaidi
 
Hata sijui kwa sababu sisikilizagi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…