Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

akibisha mtu hodi, au kama dar sehemu zenye majotroo ooo.. Umeme ukatike.. Hahaaaa
 
Hahaaaa

Poleee. Sasa wewe ulikuwa ukienda ukirudi.. Kapoaaaa inabidi uanze upya lol. Na mood za kike, anaweza hata asipate tena hisia.

Hi nafananisha na case za mko on balaaa.. Halafu mnaanza kutafutana na ndom, mara haionekani.. Ni shidaaa tafrani
 
Last edited by a moderator:
masai dada..
Kuhusu make up mm..
Nacomment kuhusu ishu kama deodorant au perfume. Inategemea na mpenzi ulienae anapenda nini.

As wapo wanaopenda harufu natural, natural kwa bibi na natural ktk mwili hasa wakati wa tukio as inaongeza hamasa
 
yees inabidi kuzungumza kwa hali ya uwazi kila mtu aongeee anapenda uweje wakati wa faragha

unajua hata ndoa nyingi zinakua hatihati kwa sababu watu hawazungumzi kwa uwazi
 
Last edited by a moderator:

Hiyo inaeleweka tatizo wengine ni kila siku usingizi awe kachoka hajachoka ye usingizi tu akishamaliza yy imetoka
 
Ha aha ahaaaa.... neggirl umenifurahisha na case ya kutafuta ndomu!! Thanks God nimeshaachana na hayo maisha kitambo.. Ila daah!! Ilikuwa inakata stimu kabisa
 
Last edited by a moderator:
yees inabidi kuzungumza kwa hali ya uwazi kila mtu aongeee anapenda uweje wakati wa faragha

unajua hata ndoa nyingi zinakua hatihati kwa sababu watu hawazungumzi kwa uwazi

Kabisaaa, mie mwanaume napenda niisikie ile harufu yake natural, ila awe msafi sio ndio kikwapa km kafuga panya
 
yees inabidi kuzungumza kwa hali ya uwazi kila mtu aongeee anapenda uweje wakati wa faragha

unajua hata ndoa nyingi zinakua hatihati kwa sababu watu hawazungumzi kwa uwazi

Hahaa

Halafu sijui watu wakoje.. Hawako free kuongea na wapenzi wao. But wengine utakuta anaenda kuhadithia hata marafiki au kuandika mtandaoni.. But hajaongea na mwenzi wake. Anakufa na kihoro chake.

Ubora wa mapenzi ni pamoja na uhuru wa kuongea kwa uwazi na mwenzi wako. Mara nyingi utasikia mtu anasema yani mimi tangu nimeolewa na hadi nina watoto kadhaa sijawahi kufika kileleni. Wakati.. Akiwa na mumewe anafeki kuwa anafika.
 
Ha aha ahaaaa.... neggirl umenifurahisha na case ya kutafuta ndomu!! Thanks God nimeshaachana na hayo maisha kitambo.. Ila daah!! Ilikuwa inakata stimu kabisa

Duuu hatariiiii....

Natamani nikuulize mmehamia pande zipi, but nadhani hapa sio mahali pake. Tusichakachue mada ya masai dada
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…