Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Where have you been jamani? Yote hayo uliyataka ww, ulikuwa wapi hadi mimi nichelewe kulala

Nlikuwa kwen maombi ya vita, hukuweza kikesha nami japo usiku mmoja?
 
bac me cpend mwanamke anae Jifanya anajua mambo alf akifka bed anakua zero hajui lolote mweupe pee!
 
kama una imudu basi pongezi

sipendi ndomu ila sasa inabidi maana ni wachache sana wanamudu hii na pia

watu sio waaminifu ni vyema kutumia protection

Ni lazima ku define aina ya Mapenzi uliyonayo. Kama hampo loyal ni bora mvae hayo mapira...azawaiz nyama ni tam zaidi..
 
Nimekupenda bila chenchi,
 
bac me cpend mwanamke anae Jifanya anajua mambo alf akifka bed anakua zero hajui lolote mweupe pee!

hapo alipojifanya anajua ni wapi??? katika maongezi au ???

la msingi asiwe rigid kuelekezwa
hivi unajua kuna ile mnakutana wote wawazi na mnaelezana mambo kwa kweli hapo ndo mta enjoy
 
hapo alipojifanya anajua ni wapi??? katika maongezi au ???

la msingi asiwe rigid kuelekezwa
hivi unajua kuna ile mnakutana wote wawazi na mnaelezana mambo kwa kweli hapo ndo mta enjoy

sa nn kujifanya master kumbe ata mgambo hujawah pita
 
Ni lazima ku define aina ya Mapenzi uliyonayo. Kama hampo loyal ni bora mvae hayo mapira...azawaiz nyama ni tam zaidi..

sure!
mi napenda kupima alafu ndo tuendelee ki ukweli maana ndomu pia nimkudanganyana tu
tena kama mnalala pamoja hadi asubuhi unakuta mnapiga cha kwanza fresh na ndom,cha pili cha tatu plain
mkizoeana ndo kabisa
so sometimes ni bora kichwa cha juu kifanye kazi kwanza
pima kabla ujaonja chochote na ni vyema kuwa waaminifu
 
sa nn kujifanya master kumbe ata mgambo hujawah pita

ndo maana nikakwambia si ajabua najua kweli lakini anavyovijua au vilivyokua vinamfurahisha ex wake kakwo ni karaha ndo maana nikasema ni vyema
mkaelekeza na kuzungumza
kila mtu ana sehemu yake anayopata hamasa ukiishika
wengine unyayoni wengine kwenye nywele
wengi wanapenda mauno wengine wanapenda stahili hatarishi
so ni vyema kuzungumza kadri mnavyozid kuwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…