Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
fungukaaa......
Khakhaa mi ndo nakuwaga mapepe kweli mwenzangu anakereka mpaka basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fungukaaa......
Kweli.....????
nlishaachaga mtu alipokea cm mechi eti huyu jamaa namdai subir uuuwi alilia hadi basi but ckujali usitishe mechi upokee cm aisee
habari za kunieleza juu ya mayai ya kuku Leo nimekusanya mengi Mara wale mafundi nimewalipa huwa inanikera sana...
!
!
nikijibu moja kwa moja kichwa cha habari ni kwamba nakereka sana nikikumbuka ukweli kwamba keshambwato na watu kadhaa kabla
Hilo ni balaa. Nilishawah kuahirisha game baada ya kipindi cha kwanza sababu hiyo.
Khakhaa mi ndo nakuwaga mapepe kweli mwenzangu anakereka mpaka basi!
Nakereka Tanesco wakikata umeme
Utasikia ...kila siku siwezi
Ndio! Imenigusaaaa kunakooooo!
mmmhhh
mwa j sijaelewa
refa kapuliza kipenga , anakwenda anakwendaaa , amepiga kichwa, kona.......... halafu anastopisha anapokea cm
Yaani unakuta jitu unaliambia niache nimechoka lenyewe lipo tu linaendelea
Yaani unakuta jitu unaliambia niache nimechoka lenyewe lipo tu linaendelea
mhmh..........