Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Hataki kubadilisha style. Kila siku kifo cha mende ngachoka aiseee.
 
Lakini msubiri kwanza kuoa/kuolewa. Ngono kabla ya ndoa ni uchafu, Mungu hapendi..teh!
 
Mi sipendi mwanamke aniulize unanipenda? Huwa sijisikii vizuri kwani kama simpendi nisingekuwa naye.
 
tabia ya kuniomba hella,au kunieleza matatizo yako muda huo sipendi.
bora u niambie kabla au baadae ya mtanange,me mwenyewe najua jinsi ya kujiongeza kukuhudumia ki mtindo,sio mpaka uniambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…