jiepushe na mwanaume ambaye kwenye mahusiano ya kawaida hujui matumizi ya pesa yake. mkiingia kwenye ndoa utajikuta unanunua maji ya kuoga kunywa, chakula cha familia, pampers za mtoto mpaka kujenga nyumba!
Kuhudumia huja automaticaly pale ur lady anapo kutrit like a KING nawe unamfanya QUEEN wako, otherwise tutatoana out, kula na kunywa no special treatmnt
ki ukweli mimi stakagi kitu chochote kiongelewe wala kifikiriwe kipindi cha kumake love
maana mi naona ndo kitu pekee chenye raha zaid duniani
Kwahiyo yeye ndio aanze kukutreat like a king? Labda km yeye ndio alikutongoza, ila km ulianza wewe na km mwanaume mpenzio inatakiwa awe queen kwako naye atakufanya king tu, tatizo mnakuwa mmetupanga thats y mnashindwa kufanya majukumu yenu ipasavyo
kila siku atakonda
Unajua kila kitu kinaanzia day one navyoanza kukuchek na kukuwek katika love zone. Sasa kama from day one unashow like upo kwa interest fulan kwangu, najarib kukuweka like my queen ili huweze ona tofauti kati ya me n other guys, na kama una doubt ziondoke, bt nothng kuna wengine wanafanyiwa ya ajabu sana full kuchukuliwa poa, halafu unategemea guy aendelee kukuon kama queen wake while wew una mchukulia kama sponsor wako.
Mtu ana fed up n no going back, anakutreat vile utavyo mtrit sasa
Ile kitu haiitaji kanuni nyingi sana na complication ni popote na saa yoyote kwa wale wenye wake zao na wanaishi bado hawana mtoto, lakini pia kwa wapenzi wanaotembeleana au kwenda sehemu kwa ajili ya hilo tu.
Kipi kinakukera mpenziwe anavyofanya au kusema wakati wewe akili yako imefunga mafaili yote lililopo ni moja tu juu ya meza, kula maraha unakuta mnataka tu kuingia ile pepo baby anasema "ngoja nikaoge" mmeanza unasikia kwa mashosti "ile laki unajua naihitaji sana "wanaume "ngoja nipumzike kidogo"
Binafsi hukereka zaidi na hii kuzungumza habari za ''hela, kazi'' wakati tunataka kufanya mapenzi. Tafadhali tumia lugha ya staha kueleza kero yako tunaweza kujifunza kwamba upande huu haupendi hiki na upande ule haupendi hiki kumbuka hapa sio JLW kwahiyo samahani halahala.
Nakuwa on for the story babu, sasa unajua mtu anapokuongelesha anategemea response sasa wewe uko busyyy tuu na simu jibu linakuwa hata halifanani na swali kwann asipasue simu? (teh teh teh)
sasa mamii kwenye simu unakuwa unachat na nani sasa
Ooooh hapo sawa nimekuelewa, kwakweli haipendezi mwanaume anapokutreat km queen alafu ukamchukulia poa, yaani kama mtu yupo honest kwakweli hata kumpiga vibomu inauma, ila sasa km kakaa kiwiziwizi tunaibiana tu
Nawachek watu wanavyo lalamika...
Alafu ukute tunalalamika tu humu ila wapenzi wetu walaaa hatuongei nao
Si utoe experience yako na wewe sio kusoma ya wenzako tu
Mimi honestly i dnt keep things kama nikiona mtu anaenda ndivyo sivyo, namuask maswali ya msingi mawili,matatu then majibu yake na actions zake after yatanipa maamuzi ya ku move on au kubaki.
sasa my dear ndo maana ya huu uzi kuangalia kipi kinawakera wenzetu
kwa kura za hapa HILO SWALI HALIPENDWI SHOST
unaonekana hujiamini,wala humuamini mwenzako na pia uko insecure
kuna jamaaa kasema hapo juu mpende tu umpe mtiani yeye wa kurudisha huu upendo kumuuliza hilo swali tena wakati huo anaweza akakudanganya vilevile
Kabisaaaa thats the spirit, mie huwa namwambia mtu black n white ila in goo way, ili aamue kunyoa ama kusuka
Hivi ni why wanawake mnalalmik kutunzw wenyewe tu, huku pemben mkitaka haki sawa ?
Hiyo misingi ya haki sawa tunayoidai unaijua kweli??
Hebu weka misingi yako, bt i-base kwenye maswala ya familia