Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa panazungumziwa matumizi ya pesa yasiyokuwa essential.Kwani matumizi ya hela ni nini?
Tuanzie hapo,maana naona kila mtu analalamika kwa anavyotumia hela!
Hizi si za juzi tu au [emoji848][emoji848]Mm kinachonirudisha nyuma ni tozo za miamala.
Maana mm natuma na ya kutolea!
Duh unatumia kwa manufaa lakini?Nipo radhi nishinde njaa lakini sio kukosa bando.
Internet ndo kila kitu kwangu, siwezi kabisa kukaa bila kuingia net.
Hela unatumia ila unatakiwa kutumia kwa maendeleo endelevu hapa tunazungumzia changamoto zinazotukuta za kutumia fedha nje ya malengo tuliyokusudiaKwani matumizi ya hela ni nini?
Tuanzie hapo, maana naona kila mtu analalamika kwa anavyotumia hela!
Kumbe tupo wengi kwenye Tatizo hiliMm kinachonirudisha nyuma ni tozo za miamala.
Maana mm natuma na ya kutolea..!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] duh, boda kwakweli sipandi labda kutoka home kwenda ndanindani ila sio mainroad au city center naona wanavyopasukaBundle... Mbaya zaidi halina linachoniingizia. Linanitumia mno mno,
I can't survive even for 10 minutes without it. I'll die hakii, kwanza simu nikiishika nahisi kama inaninyonga.
Boda boda, sijui nina kijini toyo? Yan ninapanda toyo hata sehemu ambazo mwingine atanishangaa. How comes? Hapo na hapo tu si utembeee/ upande hiace.
Outing, naweza jitia boss lady hapo chelsea wakinifurahisha. Asubuhi nikiamka naanza kupiga mahesabu and be like kwani nani alinituma nitoke? Ningeangalia update livescore kwani ingekuwa aje? Ndio pesa ishapotea hapo
Unnecessary & unplanned shopping... Inaninyonga hii ila kuiacha ni ngumu.
Mechi isiumiza ni ya.demu anaywkuja geto maana atapika na mengineIla kiukweli mbunye ndio kitu pekee kinachoturudisha sana nyuma wengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1316][emoji1316]Mbunye ndio tatizo kubwa vandg
Ingekua ni kwa uwezo wangu ningejaribu kutenganisha wanaume na wanawake ata kwa miaka 5 alaf tuone hatua za kimaendeleo tutazokua tumefkia kwa sababu vtu vng sie me hufanya kwa ajil ya kupata misifa ya hawa viumbe ndio maana wale waliosoma shule za boys hawakua na sheda ya haiba km sie tuliosoma shule za mix
Ko kwa kfup awa viumbe ndio sheeeeda
Zamani nlifundishwa kuandika.mahitaji yoote na kuyatafutia hela,Mi kila nikienda town lazima nitamati kitu na kununua ila nikifika nacho nyumbani sioni kazi yake mshana msaada huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama unawakumbukaga home inatosha kiasi maana kuna baraka unapokeaJamani kwa upande wangu mimi sifa.. daah sifa zinakula hela..
gari half tank
Vocha gb 10 ila youtube itakoma nikifika bar za connect bluetooth
Pombe ni mwendo wa bucket
Mchumba lazma aje na boda.
Lazma nile vizuri siku hiyo.
Na bimkubwa lazma siku hiyo nimpe pesa. Mama mzaa chema.
aaanh huwa sina tabia ya kuamka na viporo vya pesa niliyotengeneza jana. Siku ya pili naamka tu atm.
Namna nzuri ya kupunguza naona bora niwe na mke.Pole sana mkuu tafuta namna ya kupunguza hioo uraibu
Nini kinakuzuia??namna nzuri ya kupunguza naona bora niwe na mke.