Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
- Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
- Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.
WEWE JE?
Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!