Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

Screenshot_20250415_142546.JPG
 
  1. Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.

  2. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.

  3. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.

WEWE JE?

Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!
😁😁😁pole kwa kufananishwa na mimi
 
Back
Top Bottom