Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

Hakuwa ananilisha, hakuwa ananivisha, alikua ni boyfriend tu niliyeenda kumtembelea siku ya weekend.
Alirudi saa 9 usiku nimeshalala, ulitaka nimsubirie mlangoni nikisikia hatua zake tu nifungue au?

Mijanaume mingine bwana!!
Mwanamme lazima anyenyekewe, si vizuri kumringia mwanamme.
 
  1. Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.

  2. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.

  3. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.

WEWE JE?

Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!
Haya MWAGALATIA,kwa hiyo ulinusa nguo za Mshikaji siyo?😄
 
  1. Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.

  2. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.

  3. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.

WEWE JE?

Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!

Kunywa mipombe ovyo.
 
Nilikuwa nahitaji kumuoa lakini nilishangaa kwamba dada zake wote ni single mothers wapo nyumbn

Nikarudisha mguu nyuma
 
Sasa huyo ndiyo mzuri, kwani we hupendi kuwa tajiri, Baada ya miaka mitano mnakuwa vizur kiuchumi na angekua and vaa Suit mpya kila siku
Mh! Hapana kwakweli jitu lina wivu kuhudumia mtihani nivumilie huku nafubaa
 
Back
Top Bottom