Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #41
AsanteKila la kheri
AsanteKila la kheri
Kupigiwa simu mara kwa mara na kutotaka kupokea kisha anaenda chooni na kukaa huko zaidi ya nusu saa, akirudi anarudı na tabasamu huku akiangaza kila kona kuona kama kuna mtu anamjuwa hiyo sehemu. Anatangulia kulala usiku, nikienda chumbani namkuta kwenye simu akicheka na wenzake, baada ya sekunde tu anakata simu kujifanya analala.
- Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
- Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
- Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.
WEWE JE?
Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!
Hayo mengine yote tisa la muhimu ni hilo kukung'utwa kwa kuchelewa kumfungulia mlango mtu akulishae na kukuvalisha. Kwa kweli ulistahili kipigo tena zaidi ya hapo ili usije tena kuongea. Mwanamme mtu wa kumringishia kwa kweli jamani?
- Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
- Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
- Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.
WEWE JE?
Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!
Ila mdogo wangu una range kwa miaka kati ya ngapi na ngapi?Kuna huyu msukuma alikuwa anavaa nguo wiki, hapa nililamba galasa
Hii ndo jeiefu banaMkuu mbona una mwandiko wa kiume?
Under 25 wewe je?Ila mdogo wangu una range kwa miaka kati ya ngapi na ngapi?
Mie niliachwa na demu mara moja tuu maishani mwangu...na wakati huo nilikuwa sijawajulia nyie kenge. Nilivyokuja kujua kuwa kwa mwanamke wee saka ngono tuu na sio mapenzi, basi ninfull burudani. Wanaishia kusema wee mzabzab sio muoaji 🤣🤣🤣🤣 tena wakati uwo tayari wapo uchi 🤣🤣🤣 hawa kenge watamu sanaaaamzabzab ulisema unapenda sana wanawake, uje useme kwanini wanakuwacha sanah
secretarybird mtarajiwa wangu, uje uniambie hao wa nyuma kwanini uliwaacha.
Watu wanabutua tuu mbususu ila kuoa hakuna 🤣🤣🤣🤣Hata sijui vizuri, ila nilimwambia hatakuja kuolewa kwa hizo tabia zake!! Hadi Leo ana watoto watutu baba tofauti
Kuna la kujifunza...ukiona mwanamme mwenzio kanyoosha mikono usikimbilie huo mzigo!!Watu wanabutua tuu mbususu ila kuoa hakuna 🤣🤣🤣🤣
Mimi nakimbilia gorofa ya nne ,sema nini Jitunze bint yanguUnder 25 wewe je?
Sifa zote hizo ni za mwanaume mmoja, limbwa flani hivi na makimba yake bado likanipiga 🚮🚮🚮🚮Ume kazwa na watu watatu tayari ,malayaaa
Nakuweka kwenye maombi, njoo nikushike kichwa nilikemee hilo pepo likutoke!Mie niliachwa na demu mara moja tuu maishani mwangu...na wakati huo nilikuwa sijawajulia nyie kenge. Nilivyokuja kujua kuwa kwa mwanamke wee saka ngono tuu na sio mapenzi, basi ninfull burudani. Wanaishia kusema wee mzabzab sio muoaji 🤣🤣🤣🤣 tena wakati uwo tayari wapo uchi 🤣🤣🤣 hawa kenge watamu sanaaaa
Ushike kichwa kipi sasa ...be specific😜Nakuweka kwenye maombi, njoo nikushike kichwa nilikemee hilo pepo likutoke!