Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #81
Nina mengi moyoni, NIMEPATA PA KUSEMEA šMgeni ana moto huyu aisee
Nina mengi moyoni, NIMEPATA PA KUSEMEA šMgeni ana moto huyu aisee
Ndiyo tabia zao, hawajui neno kunukaKuna huyu msukuma alikuwa anavaa nguo wiki, hapa nililamba galasa
Duuuh, inasikitisha.Hata sijui vizuri, ila nilimwambia hatakuja kuolewa kwa hizo tabia zake!! Hadi Leo ana watoto watutu baba tofauti
Duuh hilo tumbo ni kubwa kama la Peter Msechu au?Kuamka usiku na kuliangalia tumbo langu ikiwa ni ishara hapendi kitambi changu .
Nikawaza na kuwazua nikaomba tuachane asije niuwa bure maana sikukitaka kitambi kilinifuata chenyewe
Huo ni uongoUlifanya la maana. Nashindwa kuelewa ha2a kenge, wee umeletwa duniani hapa jukumu lako moja tuu, kumpa raha mwanaune na mbususu yako lakini eti hilo nalo wanashindwa. Kenge hawa bwana
Heshima kitu cha bure mdogo wanguDuuh hilo tumbo ni kubwa kama la Peter Msechu au?
Yajulikane kwamba wanaume wengine hawajui kutawaza na ni wachafuUmbeya kama huo ulio nao.
Sasa unayatangaza ya nini?
š š š Umri bado mdogo ila nimepitia mengi, ngoja nitulie kwanza maana hii dunia ina spidi sana!Kumbe kabla hajakupiga alikuwa anajinyea ? Duuuh....
Samahani kama nimekukwazaHeshima kitu cha bure mdogo wangu
Huenda alikitazama kwa wema tuu, n ww umemfikiria vbaya.Kuamka usiku na kuliangalia tumbo langu ikiwa ni ishara hapendi kitambi changu .
Nikawaza na kuwazua nikaomba tuachane asije niuwa bure maana sikukitaka kitambi kilinifuata chenyewe
Ni marufuku kulifananisha tumbo langu na mtu mwingine ,usirudie tenaSamahani kama nimekukwaza
Sio kweli ,kila nilipomfuma akilitizama alikuwa mwenye huzuni mno na pia mimi nimejaaliwa kusoma mawazo ya mtu hivyo niligundua alikuwa anajuta kunijuaHuenda alikitazama kwa wema tuu, n ww umemfikiria vbaya.
Daah kupigwa marufuku na kuombwa ndoa kwenye sentensi moja ni hatari sana!Ni marufuku kulifananisha tumbo langu na mtu mwingine ,usirudie tena
Vipi tunaweza kuoana mrembo ?
Asee!Sio kweli ,kila nilipomfuma akilitizama alikuwa mwenye huzuni mno na pia mimi nimejaaliwa kusoma mawazo ya mtu hivyo niligundua alikuwa anajuta kunijua
Wajomba zangu wapo kisesa na ndiyo wanasema sasa nazeeka bila kuoa tena hivyo wewe ni ndugu yangu .Daah kupigwa marufuku na kuombwa ndoa kwenye sentensi moja ni hatari sana!
Anyway, karibu sana usukumani, andaa ng'ombe tu sisi hatunaga mambo mengi.
Eti hawa kenge watamu sana mkuu umekula kenge ! nimefikiria tu ule mkia wake akikuchapa nao haumii?š¤£š š¤£šMie niliachwa na demu mara moja tuu maishani mwangu...na wakati huo nilikuwa sijawajulia nyie kenge. Nilivyokuja kujua kuwa kwa mwanamke wee saka ngono tuu na sio mapenzi, basi ninfull burudani. Wanaishia kusema wee mzabzab sio muoaji š¤£š¤£š¤£š¤£ tena wakati uwo tayari wapo uchi š¤£š¤£š¤£ hawa kenge watamu sanaaaa
Alitaka niende Saluni kunyoa nywele wakati mimi "Samsoni" sipaswi kabisa kunyoa nywele za kichwa changu. Nikampa mkono wa kwa heri.
- Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
- Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
- Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa kisa nimechelewa kumfungulia mlango.
WEWE JE?
Angalizo:
Mimi SIO Binti Sayuni03 naomba msiniite hivyo wajameni!
Kwa hiyo wewe unaweza mpa raha mwanau.e bila wasiwasiHuo ni uongo
Wanazingua sanaNdiyo tabia zao, hawajui neno kunuka