Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Wanajua kwa kufanya utafiti wa kisayansi au wanajua kwa kuona tu watu wakitumia? Hata dawa za kutengenezwa maabara zina side effect pia.
Watu wakishatumia na wao si ndo wanatest. Afu unadhani kuwa mwanasayansi ni lazma uwe NASA sijui. Hata Mimi kitendo Cha kufuatilia mada kwa umakini na kutafuta majibu ni Sayansi. That's how science works.. mwanasayansi sio mzungu au sio Neil Armstrong tu...ndo maana tunasoma toka primary
 

Sijkataa unayosema.
Everyone is innocent until proven guilty
Thibitisha hayo unayosema
Kama hauna nakuweka kundi MOJA na mjinga
Mwenzako aliyesema kwamba upo lakini siwezi thibitisha ni kwa jinsi gani.

Unatetea kitu ambacho huwezi kujijenga hoja.
 
🤣We ndo kipofu unaamini vitu visivyo na uhalisia
 
Pesa si zinapotea jamani...🤣Sasa uchawi umeingiaje. Nijibu...pesa zinapotea hazipotei?
 
Kwa nini katika hizo factors nyingi hakuna uchawi? Elezea
🤣Coz uchawi ni uvivu wa kufikiria. Mtu hataki kufikiria sababu anasema tu ni uchawi, Kama wewe. Mtu kakuzidi mafanikio unaona ni mchawi, badala mfate akuelekeze na we ufanikiwe unajenga dhana potofu..na we unakuwa huendelei... maendeleo huanza kwenye mindset
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi story kwa Nini zinatokea tu bibi wa kijijini kwenu ambapo hatuwezi verify. Njoo dar ambapo Kuna camera kila sehemu hata ajali ikitokea Kuna video. Afu utuonyeshe uchawi. Au uchawi unachagua sehemu maskini na zenye wajinga
 
I'm out siku utayopata hiyo connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu niletee na nitakuwa tayari kukuamini.

Itoshe sema wewe ni mjinga zingatia ujinga si tusi.
Usihofu niite vyovyote utakavyo nimejadiliana sana na watu kama nyie humu kwa muda mrefu hivyo nawaelewa vizuri.

Kuhusu connection ya uchawi na kufanikiwa nimeshaeleza kuwa ni katika kuvuta wateja, sasa ukiniona ni mjinga kisa sijui ni kwa vp uchawi unavuta wateja ni sawa tu ila ndio kama nilivyosema kuwa vipo vifaa vingi vya umeme watu wanavitumia ila hawaelewi ufanyaji wake wa kazi ila vinafanya kazi sasa wewe unanilazimisha nijue jinsi hasa huo uchawi unavyofanya kazi.
 
Okay unaweza ukavuta wateja bila kutumia uchawi?
 
Sihitaji kujua simu ya mkononi inavyofanya kazi hadi naweza kufanya mawasiliano na mtu ila najua kwamba naweza kuwasiliana na mtu kutoka nchi nyengine kupitia hii simu.
Simu ya mkononi inaelezeka vzuri kabisa ni sababu tu umeamua kuwa mjinga kama utahitaji kujifunza useme.
Kwani ujui minara ya simu ina kazi gani?

Ila wewe umekiri uchawi unamsaidia mtu kwenye biashara yake lakini HUJUI ni kwa namna gani.
Kwa maana unatetea kitu ambacho hukijui endelea kuwa mjinga.
 
Sijui una umri gani na unaishi wapi ila nikuulize, hivi katika maisha yako ushawahi kukutana na wafanya biashara wenye imani za kishirikina kwenye biashara zao?
 

Tupe reference ya kifaa cha umeme ambacho kinatumika na mpaka sasa bado haijulikani kinafanya vipi kazi halafu tukuonyeshe.
Halafu na wewe tafuta kokote kule connection ya uchawi na kuvuta wateja?
 
Sijui una umri gani na unaishi wapi ila nikuulize, hivi katika maisha yako ushawahi kukutana na wafanya biashara wenye imani za kishirikina kwenye biashara zao?


Shida hauthibitishi unatunga stori tukikuambia uthibitishe unaruka futi mia moja. Na kusema kwamba mimi sijui na bado unatetea kitu hicho kipo.

Yaani unasema wewe ni mwanaume lakini unasema sijui kama mimi ni mwanaume.
 
Achaa wapiga ramli waendelee kuwapiga hela kama mtu hadi karne hii anaamini chuma ulete ni mpumbavu wa kiwango cha lami.
 
Sawa so umekubali kwamba uchawi ni Sayansi ambayo hujaielewa, ukielewa sio uchawi Tena?
Sio ambayo sijaielewa Mimi... WALIOKUFUNDISHA SAYANSI HII YA KINA ESTEIN NDIO WALIOSHINDWA KUILEWA SAYANSI YA BABU NA BIBI YANGU, KWA UPUUZI WAO WAKAIVIKA JINA BAYA, UCHAWI.
 
Achaa wapiga ramli waendelee kuwapiga hela kama mtu hadi karne hii anaamini chuma ulete ni mpumbavu wa kiwango cha lami.
Tatizo nyie wasomi hamuelimishi watu kwa yale mnayoyajua, kama hapo ingekuwa vizuri wewe kama msomi ukaeleza ni vp hakuna hicho kinachoaminiwa kama chuma ulete bali ni hivi na vile unakuwa umewaelimisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…