SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Kwa Nini we usitumie na upige pesa...kwa Nini uskie tu kwa watu...Kama kipoNa haiwezekani kila MTU kuwa mchawi hakika. Ndio maana hao wachache wanatumia kupiga pesa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Nini we usitumie na upige pesa...kwa Nini uskie tu kwa watu...Kama kipoNa haiwezekani kila MTU kuwa mchawi hakika. Ndio maana hao wachache wanatumia kupiga pesa...
Wote hao ni kundi moja...🤣Uchawi upo na njia sahihi ya kuushinda ni nguvu ya Mungu tu tena kupitia hao hao viongozi wa dini.
Watu wakishatumia na wao si ndo wanatest. Afu unadhani kuwa mwanasayansi ni lazma uwe NASA sijui. Hata Mimi kitendo Cha kufuatilia mada kwa umakini na kutafuta majibu ni Sayansi. That's how science works.. mwanasayansi sio mzungu au sio Neil Armstrong tu...ndo maana tunasoma toka primaryWanajua kwa kufanya utafiti wa kisayansi au wanajua kwa kuona tu watu wakitumia? Hata dawa za kutengenezwa maabara zina side effect pia.
Jamaaa wew una ubishi wa kijinga kabsa hivi vitu vipo na vimetokea sana mi nina mfano halisi kijijini kwetu Maswa walikuwa wanatengeneza barabara kuna sehemu walikuwa wameielekeza ipite kulikuwa na miti ya bibi mmoja mikubwa walijaribu kuing'oa mpk zile Caterpillar zikawa znaharibika mpk wakabadilisha uelekeo wa barabara
🤣We ndo kipofu unaamini vitu visivyo na uhalisiaUko sahihi.
Hata kinachoitwa Sayansi Leo kimetengeneza Kondoo wabaya mno, ambao kwao wanafikiri hakuna kinachoweza kutokea nje ya Kanuni za Sayansi ya Maabara zao. Kondoo wa Sayansi ni vipofu kushinda wale wa makanisa na misikiti na mizimu, maana wenyewe wamejivika usmart huku wasijue kitu. Wanefungwa na usasa ni VIPOFU.
Pesa si zinapotea jamani...🤣Sasa uchawi umeingiaje. Nijibu...pesa zinapotea hazipotei?Mimi nimekwambia kwamba utapeli na wizi upo na mtu akitapeliwa anasema haleti excuse, sasa nilitegemea wewe ukaeleza kwa kina ni vp hiyo chuma ulete sio uchawi bali ni utapeli tu ambao unafanywa hivi na vile ila sio uchawi. Mfano kuna ule utapeli wa simu ambao hao matapeli wanajifanya kukutumia pesa kimakosa na mwisho wa siku wanakutapeli, wapo ambao wanajaribu kuhusisha na uchawi ila kiukweli si uchawi maana ni utapeli ambao unaelezeka na watu wanaowatapeli asilimia kubwa ni wale ambao hawana uelewaa, ila kwa wenye uelewa hawawezi kuwatapeli.
Sasa kama wewe unaelewa chuma ulete si uchawi ni utapeli tu kama mwengine basi uelezee hapa ili watu waweze kuuepuka, eleza ni vp watu wanaona pesa zao zimepungua au kupotea kabisa kwa huo utapeli.
🤣Coz uchawi ni uvivu wa kufikiria. Mtu hataki kufikiria sababu anasema tu ni uchawi, Kama wewe. Mtu kakuzidi mafanikio unaona ni mchawi, badala mfate akuelekeze na we ufanikiwe unajenga dhana potofu..na we unakuwa huendelei... maendeleo huanza kwenye mindsetKwa nini katika hizo factors nyingi hakuna uchawi? Elezea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi story kwa Nini zinatokea tu bibi wa kijijini kwenu ambapo hatuwezi verify. Njoo dar ambapo Kuna camera kila sehemu hata ajali ikitokea Kuna video. Afu utuonyeshe uchawi. Au uchawi unachagua sehemu maskini na zenye wajingaJamaaa wew una ubishi wa kijinga kabsa hivi vitu vipo na vimetokea sana mi nina mfano halisi kijijini kwetu Maswa walikuwa wanatengeneza barabara kuna sehemu walikuwa wameielekeza ipite kulikuwa na miti ya bibi mmoja mikubwa walijaribu kuing'oa mpk zile Caterpillar zikawa znaharibika mpk wakabadilisha uelekeo wa barabara
Usihofu niite vyovyote utakavyo nimejadiliana sana na watu kama nyie humu kwa muda mrefu hivyo nawaelewa vizuri.I'm out siku utayopata hiyo connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu niletee na nitakuwa tayari kukuamini.
Itoshe sema wewe ni mjinga zingatia ujinga si tusi.
Okay unaweza ukavuta wateja bila kutumia uchawi?Usihofu niite vyovyote utakavyo nimejadiliana sana na watu kama nyie humu kwa muda mrefu hivyo nawaelewa vizuri.
Kuhusu connection ya uchawi na kufanikiwa nimeshaeleza kuwa ni katika kuvuta wateja, sasa ukiniona ni mjinga kisa sijui ni kwa vp uchawi unavuta wateja ni sawa tu ila ndio kama nilivyosema kuwa vipo vifaa vingi vya umeme watu wanavitumia ila hawaelewi ufanyaji wake wa kazi ila vinafanya kazi sasa wewe unanilazimisha nijue jinsi hasa huo uchawi unavyofanya kazi.
Simu ya mkononi inaelezeka vzuri kabisa ni sababu tu umeamua kuwa mjinga kama utahitaji kujifunza useme.Sihitaji kujua simu ya mkononi inavyofanya kazi hadi naweza kufanya mawasiliano na mtu ila najua kwamba naweza kuwasiliana na mtu kutoka nchi nyengine kupitia hii simu.
Sijui una umri gani na unaishi wapi ila nikuulize, hivi katika maisha yako ushawahi kukutana na wafanya biashara wenye imani za kishirikina kwenye biashara zao?🤣Coz uchawi ni uvivu wa kufikiria. Mtu hataki kufikiria sababu anasema tu ni uchawi, Kama wewe. Mtu kakuzidi mafanikio unaona ni mchawi, badala mfate akuelekeze na we ufanikiwe unajenga dhana potofu..na we unakuwa huendelei... maendeleo huanza kwenye mindset
Usihofu niite vyovyote utakavyo nimejadiliana sana na watu kama nyie humu kwa muda mrefu hivyo nawaelewa vizuri.
Kuhusu connection ya uchawi na kufanikiwa nimeshaeleza kuwa ni katika kuvuta wateja, sasa ukiniona ni mjinga kisa sijui ni kwa vp uchawi unavuta wateja ni sawa tu ila ndio kama nilivyosema kuwa vipo vifaa vingi vya umeme watu wanavitumia ila hawaelewi ufanyaji wake wa kazi ila vinafanya kazi sasa wewe unanilazimisha nijue jinsi hasa huo uchawi unavyofanya kazi.
Ndio unaweza ukavuta au kuvutia wateja pasina uchawi.Okay unaweza ukavuta wateja bila kutumia uchawi?
Sijui una umri gani na unaishi wapi ila nikuulize, hivi katika maisha yako ushawahi kukutana na wafanya biashara wenye imani za kishirikina kwenye biashara zao?
Sio ambayo sijaielewa Mimi... WALIOKUFUNDISHA SAYANSI HII YA KINA ESTEIN NDIO WALIOSHINDWA KUILEWA SAYANSI YA BABU NA BIBI YANGU, KWA UPUUZI WAO WAKAIVIKA JINA BAYA, UCHAWI.Sawa so umekubali kwamba uchawi ni Sayansi ambayo hujaielewa, ukielewa sio uchawi Tena?
Duh!Anything that has supernatural explanations instead of natural or scientific explanation
Hakika, maana kinachoitwa Uchawi ni Kanuni zilezile za kinachoitwa Sayansi na kinachoitwa Mungu. Ni kitu kimoja.Hamna uchawi...
Tatizo nyie wasomi hamuelimishi watu kwa yale mnayoyajua, kama hapo ingekuwa vizuri wewe kama msomi ukaeleza ni vp hakuna hicho kinachoaminiwa kama chuma ulete bali ni hivi na vile unakuwa umewaelimisha watu.Achaa wapiga ramli waendelee kuwapiga hela kama mtu hadi karne hii anaamini chuma ulete ni mpumbavu wa kiwango cha lami.