Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Waambie walete dar bac au kisa kila mtu anajielewa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Duuu ..kweli Tanzania tutachelewa Sana kufika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndio...coz kitu ambacho ni real haliwezi kuchagua watu sijui mipaka. We Kama una hao waganga waambie wayarushe..ni mwezi mzima Sasa...tusitishane utoto bana nachoka na Mimi mjue
Hapa hoja sio kurusha majini wala kurogana hatukuwa tukibishana kwamba naweza kukuroga au siwezi, hata mimi ninayeamini uchawi naweza kusema hakuna anayeweza kuniroga wala kunitupia jini.

Mpaka sasa wewe unayedai hakuna uchawi ni kukosa tu uelewa umeshindwa kutetea hoja yako na imeonyesha wazi hujawahi kutafuta ukweli kuhusu kama ni kweli ama si kweli.
 
We skia...tusipotezane mda kuongea story za Babu yake nani Kijiji fulani ambae huyo Babu hata kuandika hajui.. tuwe serious na maisha halisi sawa
Mimi nakuelezea maisha halisi ambayo watu tunaishi huku, wewe ndio unatuletea maisha ya wazungu jinsi wanavyoishi huko ambayo sio maisha ya afrika ndio maana hauna mifano halisi ya kinachoendelea afrika katika huko kupinga kwako uchawi.

Wewe endelea kuangalia movie zako za Thor hapo kwa mjomba wako tu.
 
Mkuu issue sio kuamini walichoamini mababu bali uhalisia wa kitu chenyewe, nimeeleza kuwa uchawi afrika unaaminiwa na kufanyika kwa vitendo na athari zake zinatokea ila wewe uliyekariri wanasayansi huko wanaopinga uchawi ndio unasema athari za uchawi ni za kubahatisha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sawa bac walete wachawi huku tuwaone hata Mimi naweza toa shuhuda za uwongo
Watu wakieleza visa vyao unasema mara vya kutunga mara hallucinations, yani kupinga hivyo unavyopinga wewe ni kitu rahisi sana hadi sasa sijaona huo ulewa na elimu uliyokuwa.

Hivi kwa mtu ambaye anafuatilia haya majadiliano yetu na hayupo upande wowote kati yetu unadhani hoja ipi atashika kutoka kwako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hujajibu swali. Sisi kanisa letu halikemei ujinga ambao haupo. Mi nasema kuwa na Mungu, kuwa na muumbaji wa mbingu na nchi, Inahusiana Nini na uchawi kuwepo.
Ila huwa mnakemea kitu gani?
 
Bac ...Kama upo leta uthibitisho...mbona mnazunguka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dogo....huyo mjomba mbona unamkazania. So Africa uchawi upo..bac tuonyeshe. Nimekuambia siku hizi mpaka ajali barabarani zinarekodiwa Kuna majengo Yana camera watu Wana Simu...Ila uchawi unachagua kijijini ambapo hamna camera ili watu watunge story
 
Sayansi haikaririwi Ina badilika. Ndo maana mwanzo hakukuwa na chanjo ya corona baadae zikapatikana...ndo Sayansi. Sayansi inaendeleza jamii uchawi ni ujinga tu na umaskini
 
Kwamba ni hallucinations na mifano ipo...Kama issue Ni watu wengi..unataka uniambie jua Lilichezacheza kule Fatima Portugal...no...watu 3000 wanaweza kuona kitu ambacho hakipo..it's possible πŸ˜‚so bado hamna hoja
 
Bac ...Kama upo leta uthibitisho...mbona mnazunguka.
Nilete uthibitisho upi sasa? Waganga wenye kutibu matatizo ya kichawi umesema ni kubahatisha tu halafu unakuja hapa unataka uthibitisho sasa sijui uthibitisho upi? Yani kama tunajadili suala la kufikirika wakati muda wote nimesema hapa kuwa uchawi unafanyika kivitendo.

Sioni huo uelewa wala kuelimika kwako naona ubishi tu.

Dogo mchana mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…