SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Huyo ni wewe kukosa nguvu za kifikra kutokana na uchovu usingizi na Giza la usiku...hizi ni hallucinations, ni product ya ubongo wako.Nilikuwa nasafiri usiku kama saa 9 hivi na Lori niko peke yangu.
Nilipofika maeneo ya michungwani Tanga nikamuona binti mzuri kiasi anasimamisha gari.
Niliamua kutosimama lakini baada ya kufika kwedikwazu nikamuona binti yule yule na ghafla gari ikaanza kukosa nguvu na hatimae ikazima.
Binti akawa analisogelea gari....Sasa huo ni uchawi au ujini????
🤣Toa hoja sio kelele nilishakuambia, Rudi darasa la nne usomeUjinga wako umekuja ku-uprove huku... kichaa ww
Hamna mtu amefanikiwa kisa uchawi...Kama unafanikiwa nenda na wewe uwe mchawi...acheni wivu wa maendeleo jamaniWanaposema maisha Ni mchezo wanamaanisha "duniani watu wanaishi kichawichawi". Waliojikita huko ndio wanaofanikiwa. La ajabu watu wako bussy na uchawi Ila wanasingizia dini.
duuuu aise ilikua balaa snKuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
[emoji1787]Toa hoja sio kelele nilishakuambia, Rudi darasa la nne usome
🤣Tushakuzoea...au na huku umekuja kutafuta bikra mshirikinaSiwezi nikakaa na ku discus na mtu mjinga
achana na huyo jamaa bana huoni ana matusi...🤣Toa hoja sio kelele nilishakuambia, Rudi darasa la nne usome
🤣Toa mfano leta data zenye uthibitisho sio unaongea kwa hisia..acha fikra za kimaskini...fanya kazi maisha yako yote ndo utafanikiwa. Acha wivu kwa watu, uchawi haupo, ungekuwepo na ungekuwa na maendeleo si kila mtu angeenda huko.Hujawahi kuona mtu aliyefanikiwa kichawi? Kama wewe bado ni kijana "kuwa uyaone" na kama umri umekwenda unayaona Ila unafumba macho.
[emoji1787]Tushakuzoea...au na huku umekuja kutafuta bikra mshirikina
nahuo u hawi uliletwa na malaika wa MunguUchawi hauna mamlaka juu ya ukuu wa Mungu
Upo la ngapi mkuu?Unajifanya wa kiume kumbe wewe ni mamamzungu
So... What's ur pointKwetu vijijini Kuna mzee aliangusha kibunda chake Cha pesa na akajua mtu aliyeziokota.Mzee alimwambia huyo jamaa Kama hataki nongwa amrudishie tu hela zake Jamaa akamkatalia kbsa akasema hakuokota pesa yoyote.
Mzee aliamua kuachana naye ila kabla ya kuondoka alimwambia atapata majibu.Aisee kilichomkuta huyo jamaa aliyeokota pesa huwezi amini.Alifiqa na wanawe 2 pamoja na mjukuu mmoja chini ya Mwezi mmoja.
Jamani namuona mtu amesimama juu ya Moto huko juu kbsa🤔
My point is.... wichcraft is real.So... What's ur point