Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Tafuta kitabu kinaitwa "The Secret"

Hakihusiani na dini yoyote ile, Ila kisome tu

Siku ukija kumaliza nishtue tujadili mawili matatu.
 
My brother!! Upo sahihi asilimia 100% and mybe nasema haya coz naamin in Astheism na pia nipo in Religion.

Kaka kuna vitu omba sana visikupate! Havielezeki kwa Philosophy wala Science, ni very complicated! Niamini mimi brother ikikutokea inakuvurugwa hard enough kiasi kwamba unashindwa hata kutoa Reference ya either utumie Dini ku define au Astheism!!
Hamna mtu amefanikiwa kisa uchawi...Kama unafanikiwa nenda na wewe uwe mchawi...acheni wivu wa maendeleo jamani
 
Samahani, unaishi DSM?
 
😂😂😂Ni Vitisho...if u don't understand kitu fuatilia usipopata jibu bac it's u don't know... tatizo watu washaweka conclusion if kitu hukielewi it's magic I don't think that way...ndo maana naishi huru..I don't have to know everything in the world na bado najifunza kitu..ila I refuse kuamini kitu out of ignorance n fear Tena without evidence ya kuaminika..eyes n ears can lie ndo maana hizi story tu ni za watu ila no verifiable evidence coz ni personal mental issues tu..najua watu hawapendi kuambiwa ila ndo hivyo
 
Ukisema unajifunza nakataa, wewe ulishajilimit kujifunza,, Vitisho vya watu vikuzuie wewe kujifunza jambo ? Mbona ni sababu ya kitoto sana

Kwa mtu mwenye utimamu wa akili anaependa kujua au kujifunza mambo tofauti, angejifunza kwanza ndio ajue anakubali au anakataa kuwa hilo jambo lipo..
Lakini atheist wengi huwa mnapinga tu yani hamna sababu ya kwanini mnapinga ila mnaamua tu kupinga kuwa Mungu hayupo..

Kama unazo sababu za msingi kabisa ambazo haziachi shaka yoyote kuwa kwanini unapinga kuwa Mungu yupo naomba utujibu hapa....Wenda tutajifunza jambo kutoka kwako
 
Bulyaga kwa mwakwilusya si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…