Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

Kama mke utampelekea motooo kisawa sawa na hela unampa hana makelele na mumewe. Ila kama mume kimoja chalii na hela hana pole yako[emoji1787][emoji1787]
Naomba hii comments iwekwee pale posta kwenye mnara wa askari.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hayuko period labda kimenasa.

Hormones za mimba au periods zinafanya mwanamke anakua na hasira.
Ukikutana na wale wasioogopa kujibishana na wamaume ndo hali inakua hivyo.
 
Siupige chini!!yaan nimuoe nimuhudumie alafu anipandishie na kuleta dharau! Piga chini takataka hiyo
 
Hapo ni lazima utatuambia kua kipindi chenu cha uchumba alikua ni mwanamke mtiifu na mpole sana kwako. So ni wazi amekuja kwako akihitaji tu ile heshima ya ndoa, na ameshaipata. Kwahyo ameshaizoea ndoa na ameona hakuna jipya. Ni point of no return, mkiachana pasu kwa pasu itawahusu na obviously mnufaika mkubwa atakua ni yeye.

Kama nilivyosema, amefata heshima ya ndoa kwako lakini wewe haukua mwanaume wa ndoto zake. Yupo ex wake ambae alitegemea amuoe lkn ilishindikana. Na sasa wameshaanza kukumbushiana ya zamani. Au kuna njemba imemtongoza, kimuonekano na personality amekuzidi. Kwahyo kila unalomsemesha anakuona kero tu (akijaribu kukulinganisha na hayo majamaa)

Lakini pia huenda hautimizi majukumu yako kisawasawa ndani ya nyumba. Anza kijitafakari. Unampekelea moto kisawasawa kama ulivyokua unafanya miaka ya nyuma? Huduma za msingi nyumbani zinapatikana? Kama moto hauwashwi vizuri kama zamani.
Solutely true.
 
Back
Top Bottom