Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

Hizo ni mental health disorders mzee,
Akusome na aelewe! Mke wake atakuwa amechoka na pilika za hapa na pale, kama unaweza kujiandalia nguo za safari ama kuvaa, jiandalie, km unaweza kufanya mambo mengine msaidie. Wanawake wengi wanasumbuliwa na magonjwa ya akili kwasababu hawana msaada, unamtriti mkeo kama house gelo wako!

siyo fair, saidia mkeo baadhi ya majukumu
 
"...atajua mwenyewe" tafsiri yake "Acha ajifie mwenyewe kwa maamuzi yake"

Dah namuonea huruma sanaa kwanini alioa.

#YNWA
Kuoa ni uamuzi.
Na hayo ndo maamuzi yake apambane na hali yake. Akishindwa aachie ngazi, simple.
 
Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.
Ndo maana wanaume wengi wakichapiwa wanaumia na kuishia kujeruhi...kwasababu aliweka matumaini ya kwamba anayeruhusiwa kuchepuka ni mwanaume peke yake.

Dunia imebadilika sana, people don't care anymore. Solution ni ndoa za mkataba labda.
Naam, hapo nimekuelewa vyema kabisa, ningependa wanaume wenzangu waisome comment yako coz umeelezea uhalisia wa mambo jinsi ulivyo.
 
Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.
Ndo maana wanaume wengi wakichapiwa wanaumia na kuishia kujeruhi...kwasababu aliweka matumaini ya kwamba anayeruhusiwa kuchepuka ni mwanaume peke yake.

Dunia imebadilika sana, people don't care anymore. Solution ni ndoa za mkataba labda.
Kinachouma kwa Mwanaume si kuchepuka kwako,nikikumbuka gharama zangu kwako alafu bado tena unachepuka ndiyo kinauuma zaidi,lakini Kama ningekua sikugharamii hata kidogo,hata ukichepuka na Kijiji kizima wala sitojali kabisa!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ambao wake zao wapo vizuri financially. Hawagharamii na bado anaumia.
Kumbe shida ni gharama ulizotumia...basi sawaa. Tumeshapata solution 😅😅
 
Nikutaarifu ya kwamba mimi ni mzuri wa kuridhisha na mwaka huu natimiza miaka 18 ya ndoa. Nikitimiza miaka 25 ya ndoa nitakualika tuje kusherekea pamoja.
Umesha Chepuka Mara ngapi ndani ya miaka 18 ya Ndoa yako!!?? Kua mkweli Mungu anakuona ujuwe!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Utoto unakusumbua naona unaisi kupeleka moto na kumpa pesa ndyo hutaona rangi yake ya pili owa uone
Watoto wote ndio wanawaza kwamba ndoa ni fantasy kumaliz vyumban bas imeisha. Hajajua kuna watoto kuzaliwa kuna kipind cha mimba kuna kuzoeana kuna mambo meng ambayo vijana mtihan
 
Kuna ambao wake zao wapo vizuri financially. Hawagharamii na bado anaumia.
Kumbe shida ni gharama ulizotumia...basi sawaa. Tumeshapata solution [emoji28][emoji28]
Sasa Mtu kakanunulia hadi Phd ya US Dola 2500 alafu unakuja kuchepuka na fala mmoja kisa kakujazia Mafuta kwenye gari niliokununulia pia!? Ndiyo maana mnapigwa mabomba live!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Mtu kakanunulia hadi Phd ya US Dola 2500 alafu unakuja kuchepuka na fala mmoja kisa kakujazia Mafuta kwenye gari niliokununulia pia!? Ndiyo maana mnapigwa mabomba live!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hata ukimpiga bomba haibadili ukweli ya kwamba umechapiwa. Ukweli utabaki pale pale.
 
Mi nilijua anachepuka muda,nikaoa mke wa pili bila yeye kujua,Nina watoto wawili kwa mke wa pili,nasubiri siku akijua anijie juu nimpe talaka hapohapo
 
Sawa ila machungu bado unayo 😅
 
Sawa ila machungu bado unayo 😅
Wala Sina,ni ujinga kuuumia kisa mwenza kachepuka,ni mwili wake,ucchi wake,alishughulishwa yeye...kwa nini Mimi nitumie,sijui Kama ataumia kikitokea hicho nilichopanga
 
Back
Top Bottom