Kinachosumbua ni sisi wanaume wenyewe ile kukosa kuzisoma RED FLAGS ambazo wanawake huwa nazo hata kabla ya kuwaoa badala yake tunaamua kuwachagua kwa mionekano yao, kwamfano hapa mimi tayari nimeshagundua wewe si mwanamke unaefaa kuolewa zaidi ya hit and run, ila atatokea mwanaume mjinga mmoja huko na kudhania kuwa anaweza kukuoa na ukatulia kwasababu ya uzuri wako (sina uhakika) au vitu vingine.
Kwanini solution iwe ndoa za mikataba?
Kama ndoa za mikataba zinaweza kuwa suluhisho, basi tuungane na wewe wenzetu kukataa ndoa.
Sent using
Jamii Forums mobile app