Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).

Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.

NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.

Hapo kuna mawili la kwanza, humgongi vizuri la pili, pengine yupo jamaa anamkanyaga, na kama yeye kajenga nyumba au amekuzidi mshahara, nakuhurumia
 
Back
Top Bottom