😅😅😅 Protective mechanism hizoNimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.
NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
Kama ana asili ya mdomo na ulikubali kumuoa hupaswi kulalamika. Ulimchagua mwenyewe na mdomo wakeWapo wanawake wenye asili ya mdomo
Hariziki hela Wala show!
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu akili za wanawake achana nazo kabisa, hiyo ya kimya kimya ni mwanaume tu ndo anaweza kuifanya na asingundulike.Si achepuke kimya kimya kwann apaniki.
Ukiona anafanya wazi wazi basi ujue ya kwamba anakudharau mno na anajua huna la kumfanya.Mkuu akili za wanawake achana nazo kabisa, hiyo ya kimya kimya ni mwanaume tu ndo anaweza kuifanya na asingundulike.
Me nachepuka na huwezi nigundua hata siku moja,, lakini mwanamke akishanogeshwa na chochote tu na mchepuko wewe mume/mpenzi wake utagundua tu labda mwanaume awe Lofa.Ukiona anafanya wazi wazi basi ujue ya kwamba anakudharau mno na anajua huna la kumfanya.
Walio careless kwenye kuchepuka ni wanaume...
Dawa yake,akilipuka tu,wwe lipuka Mara mbili yake! Utakuja nishukuru siku moja!!Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.
NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
Kila kitu na fundi wake, ukileta ujanja na usasa mambo yatakushinda tu.Ajakuelewa,watu hawajui kwamba mafundi wapo
Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.Mwanaume ukiishi kwa kumridhisha mwanamke kwa kila kitu,, utateseka sana kwenye hii dunia,, hakuna rangi utaacha ona,, ukiona mkeo hachepuki sijui ametulia fahamu tu kwamba bado hajakutana na fascinated mchepuko ila siku akikutana nae ni swala la muda tu kuanza kuona changes...mwanaume unakazana ety sijui show kali mara hela, ma-broo mtasanda kwa hawa viumbe.
Wengi wanauguwa bila kujijuwa,Sasa jiulize Kama unaulizwa kitu tu cha kawaida kwa Nini ulipuke kwa hasira badala ya kumjibu tu mwenzio in a same way alivyokuuliza wwe Kama siyo ugonjwa wa akili huo!!?Hizo ni mental health disorders mzee,
Kinachosumbua ni sisi wanaume wenyewe ile kukosa kuzisoma RED FLAGS ambazo wanawake huwa nazo hata kabla ya kuwaoa badala yake tunaamua kuwachagua kwa mionekano yao, kwamfano hapa mimi tayari nimeshagundua wewe si mwanamke unaefaa kuolewa zaidi ya hit and run, ila atatokea mwanaume mjinga mmoja huko na kudhania kuwa anaweza kukuoa na ukatulia kwasababu ya uzuri wako (sina uhakika) au vitu vingine.Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.
Ndo maana wanaume wengi wakichapiwa wanaumia na kuishia kujeruhi...kwasababu aliweka matumaini ya kwamba anayeruhusiwa kuchepuka ni mwanaume peke yake.
Dunia imebadilika sana, people don't care anymore. Solution ni ndoa za mkataba labda.
Nikutaarifu ya kwamba mimi ni mzuri wa kuridhisha na mwaka huu natimiza miaka 18 ya ndoa. Nikitimiza miaka 25 ya ndoa nitakualika tuje kusherekea pamoja.Kinachosumbua ni sisi wanaume wenyewe ile kukosa kuzisoma RED FLAGS ambazo wanawake huwa nazo hata kabla ya kuwaoa badala yake tunaamua kuwachagua kwa mionekano yao, kwamfano hapa mimi tayari nimeshagundua wewe si mwanamke unaefaa kuolewa zaidi ya hit and run, ila atatokea mwanaume mjinga mmoja huko na kudhania kuwa anaweza kukuoa na ukatulia kwasababu ya uzuri wako (sina uhakika) au vitu vingine.
Kwanini solution iwe ndoa za mikataba?
Kama ndoa za mikataba zinaweza kuwa suluhisho, basi tuungane na wewe wenzetu kukataa ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini alimuoa na mdomo wote huo?Kama ana asili ya mdomo na ulikubali kumuoa hupaswi kulalamika. Ulimchagua mwenyewe na mdomo wake
Kila mtu ana sababu zake kwanini ameoa. Kama wewe ambavyo unazo sababu zako kwanini hutaoa tumekuelewa....maisha ni kuchagua sio lazima watu wote wawe na mwelekeo mmoja, haitatokea.Kwanini alimuoa na mdomo wote huo?
The point is; KWANINI UNAOA???
#YNWA
Kila mtu ana sababu zake kwanini ameoa. Kama wewe ambavyo unazo sababu zako kwanini hutaoa tumekuelewa....maisha ni kuchagua sio lazima watu wote wawe na mwelekeo mmoja, haitatokea.
Kachagua mwenyewe mwanamke kasuku, ukute mdomo wake ndo uliomvutia, atajua mwenyewe.Sasa unaoa ili ukae na mdomo ndani, halafu ukupigie makelele kama sabufa?
#YNWA