Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kachagua mwenyewe mwanamke kasuku, ukute mdomo wake ndo uliomvutia, atajua mwenyewe.
Akusome na aelewe! Mke wake atakuwa amechoka na pilika za hapa na pale, kama unaweza kujiandalia nguo za safari ama kuvaa, jiandalie, km unaweza kufanya mambo mengine msaidie. Wanawake wengi wanasumbuliwa na magonjwa ya akili kwasababu hawana msaada, unamtriti mkeo kama house gelo wako!Hizo ni mental health disorders mzee,
Kuoa ni uamuzi."...atajua mwenyewe" tafsiri yake "Acha ajifie mwenyewe kwa maamuzi yake"
Dah namuonea huruma sanaa kwanini alioa.
#YNWA
Naam, hapo nimekuelewa vyema kabisa, ningependa wanaume wenzangu waisome comment yako coz umeelezea uhalisia wa mambo jinsi ulivyo.Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.
Ndo maana wanaume wengi wakichapiwa wanaumia na kuishia kujeruhi...kwasababu aliweka matumaini ya kwamba anayeruhusiwa kuchepuka ni mwanaume peke yake.
Dunia imebadilika sana, people don't care anymore. Solution ni ndoa za mkataba labda.
Kinachouma kwa Mwanaume si kuchepuka kwako,nikikumbuka gharama zangu kwako alafu bado tena unachepuka ndiyo kinauuma zaidi,lakini Kama ningekua sikugharamii hata kidogo,hata ukichepuka na Kijiji kizima wala sitojali kabisa!!Wanaume mnapata shida kwasababu kwenye minds zenu mnaamini ya kwamba mwanamke hapaswi kuchepuka. Mmesahau ya kwamba na yeye ana tabia za kibinadamu.
Ndo maana wanaume wengi wakichapiwa wanaumia na kuishia kujeruhi...kwasababu aliweka matumaini ya kwamba anayeruhusiwa kuchepuka ni mwanaume peke yake.
Dunia imebadilika sana, people don't care anymore. Solution ni ndoa za mkataba labda.
Kuna ambao wake zao wapo vizuri financially. Hawagharamii na bado anaumia.Kinachouma kwa Mwanaume si kuchepuka kwako,nikikumbuka gharama zangu kwako alafu bado tena unachepuka ndiyo kinauuma zaidi,lakini Kama ningekua sikugharamii hata kidogo,hata ukichepuka na Kijiji kizima wala sitojali kabisa!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umesha Chepuka Mara ngapi ndani ya miaka 18 ya Ndoa yako!!?? Kua mkweli Mungu anakuona ujuwe!!Nikutaarifu ya kwamba mimi ni mzuri wa kuridhisha na mwaka huu natimiza miaka 18 ya ndoa. Nikitimiza miaka 25 ya ndoa nitakualika tuje kusherekea pamoja.
Wewe ni padri? Nipo kwenye kitubio?Umesha Chepuka Mara ngapi ndani ya miaka 18 ya Ndoa yako!!?? Kua mkweli Mungu anakuona ujuwe!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Watoto wote ndio wanawaza kwamba ndoa ni fantasy kumaliz vyumban bas imeisha. Hajajua kuna watoto kuzaliwa kuna kipind cha mimba kuna kuzoeana kuna mambo meng ambayo vijana mtihanUtoto unakusumbua naona unaisi kupeleka moto na kumpa pesa ndyo hutaona rangi yake ya pili owa uone
Sasa Mtu kakanunulia hadi Phd ya US Dola 2500 alafu unakuja kuchepuka na fala mmoja kisa kakujazia Mafuta kwenye gari niliokununulia pia!? Ndiyo maana mnapigwa mabomba live!!Kuna ambao wake zao wapo vizuri financially. Hawagharamii na bado anaumia.
Kumbe shida ni gharama ulizotumia...basi sawaa. Tumeshapata solution [emoji28][emoji28]
Hata ukimpiga bomba haibadili ukweli ya kwamba umechapiwa. Ukweli utabaki pale pale.Sasa Mtu kakanunulia hadi Phd ya US Dola 2500 alafu unakuja kuchepuka na fala mmoja kisa kakujazia Mafuta kwenye gari niliokununulia pia!? Ndiyo maana mnapigwa mabomba live!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwani wwe huwezi sema ukweli hadi padri wako awepo!!??[emoji1][emoji2]Wewe ni padri? Nipo kwenye kitubio?
Utaamini vipi kama nasema ukweli?Kwani wwe huwezi sema ukweli hadi padri wako awepo!!??[emoji1][emoji2]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji2][emoji1]Utaamini vipi kama nasema ukweli?
Kuchapiwa/kuchapwa ni siri ya ndani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wameacha elimu thus vilio dailyKila kitu na fundi wake, ukileta ujanja na usasa mambo yatakushinda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilijua anachepuka muda,nikaoa mke wa pili bila yeye kujua,Nina watoto wawili kwa mke wa pili,nasubiri siku akijua anijie juu nimpe talaka hapohapoHata ukimpiga bomba haibadili ukweli ya kwamba umechapiwa. Ukweli utabaki pale pale.
Sawa ila machungu bado unayo πMi nilijua anachepuka muda,nikaoa mke wa pili bila yeye kujua,Nina watoto wawili kwa mke wa pili,nasubiri siku akijua anijie juu nimpe talaka hapohapo
Wala Sina,ni ujinga kuuumia kisa mwenza kachepuka,ni mwili wake,ucchi wake,alishughulishwa yeye...kwa nini Mimi nitumie,sijui Kama ataumia kikitokea hicho nilichopangaSawa ila machungu bado unayo π