Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.
NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.