Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

Joined
May 2, 2026
Posts
64
Reaction score
55
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Kwa list fupi:

1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni

2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote

3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa

4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka

5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake

Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
 
Uongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.
 
Stupid mind
 
Uongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.
Tanzania sasa inakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata misaada na mikopo kutoka kwa washirika wa Magharibi.

Ushirikiano na nchi za Magharibi umezorota, mfano EU imesitisha kutoa Euro millioni 156 sawa na bilioni 430.. na misaada/pesa nyingine toka kwa wahisani, washirika na wawekezaji .

Hivyo hapo inabidi kujikomba hadi kwa kina Ruto na Kagame kutafuta chochote kitu, maana bibi wa kiguu na njia alikuwa hajambo kwa kuzunguka kuanzia jumatatu hadi jumatatu huko ughaibuni... kiko wapi sasa 😂
 
Kuna Nchi gani ambayo imekosa Kwa kupeleka pesa Hadi wakupe misaada?

Hakuna mahala ambapo Nchi inakabiliwa na kukosa mikopo.

Kuhusu misaada itapendeza sana Wazungu waache kutoa kabisa ingawa najua Bado wanatoa ila wakome Kwa sababu ni kupendekeza uzembe na utegemezi.

Nchi hii Ina maeneo mengi na watu wengi hawalipi Kodi mfano Mimi binafsi Huwa nanunua Mali mfano Ardhi bila kulipa Kodi.

Kwa nini kama zile hati za Vijiji zinatambulika wale viongozi wanaoshuhudia mauzianonwasitumike kusimamia Kodi ya serikali?

Hivyo hivyo kwenye minada ya mifugo na Kodi ya jengo,Ardhi nk.

Kuna pesa nyingi sana ziko tuu na ndio maana maendeleo yetu hayalingani na kile Serikali inakusanya hapo Bado sijazungumzia wanaokwepa na wanaoiba.
 
Hapo bado hamjasema hadi mseme.

Hivi sasa hamtaki pesa za wazungu 😂

Mbona mmeziomba sana baada ya kunyimwa mnadai pesa zao hamzitaki... na bado.
 
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Kwa list fupi:

1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni

2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote

3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa

4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka

5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake

Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani

Kaka waonee huruma vijana wenzio wanatekwa na kukatwa vichwa,

Unataka watu wa comment hapa kesho tusikie mtu ameokotwa mto msimbazi
 
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Kwa list fupi:

1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni

2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote

3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa

4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka

5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake

Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
Huwa unamwongopea ili aharibu siyo?
 
Uongo
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Back
Top Bottom