Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Kwa list fupi:


1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni

2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote

3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa

4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka

5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake

Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
Hivi mwajua uongo uongo ulitufikisha mo29,kwanini hamsemi ukwelii?
 
Back
Top Bottom