ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Uongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa
4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka
5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake
Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
Stupid mindMtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Tanzania sasa inakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata misaada na mikopo kutoka kwa washirika wa Magharibi.Uongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.
Kuna Nchi gani ambayo imekosa Kwa kupeleka pesa Hadi wakupe misaada?Tanzania sasa inakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata misaada na mikopo kutoka kwa washirika wa Magharibi.
Ushirikiano na nchi za Magharibi umezorota, mfano EU imesitisha kutoa Euro millioni 156 sawa na bilioni 430.. na misaada/pesa nyingine toka kwa wahisani, washirika na wawekezaji .
Hivyo hapo inabidi kujikomba hadi kwa kina Ruto na Kagame kutafuta chochote kitu, maana bibi wa kiguu na njia alikuwa hajambo kwa kuzunguka kuanzia jumatatu hadi jumatatu huko ughaibuni... kiko wapi sasa 😂
Uchumi wa kuzalisha chawa?Uongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.
Kuna Nchi gani ambayo imekosa Kwa kupeleka pesa Hadi wakupe misaada?
Hakuna mahala ambapo Nchi inakabiliwa na kukosa mikopo.
Kuhusu misaada itapendeza sana Wazungu waache kutoa kabisa ingawa najua Bado wanatoa ila wakome Kwa sababu ni kupendekeza uzembe na utegemezi.
Nchi hii Ina maeneo mengi na watu wengi hawalipi Kodi mfano Mimi binafsi Huwa nanunua Mali mfano Ardhi bila kulipa Kodi.
Kwa nini kama zile hati za Vijiji zinatambulika wale viongozi wanaoshuhudia mauzianonwasitumike kusimamia Kodi ya serikali?
Hivyo hivyo kwenye minada ya mifugo na Kodi ya jengo,Ardhi nk.
Kuna pesa nyingi sana ziko tuu na ndio maana maendeleo yetu hayalingani na kile Serikali inakusanya hapo Bado sijazungumzia wanaokwepa na wanaoiba.
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa
4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka
5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake
Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
Huwa unamwongopea ili aharibu siyo?Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama – Alimaliza “vita baridi” baina ya serikali na vyombo vya habari, wafanyabiashara, makanisa
4. Diplomasia ya tabasamu – Alirejesha uhusiano na nchi jirani, wahisani na wawekezaji waliokuwa wameondoka
5. Kuwapa wanawake matumaini – Kama Rais mwanamke wa kwanza, wengi wanajivunia na kujiona ndani yake
Tumepewa Raisi ambaye kwa kipindi hiki amefiti na anatendea haki kiti kwa Kuendeleza Tanzania iliyokuwa inaimbwa duniani
UongoMtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza

Awamu ya mafisadi hii, uliona yalimchangia mabilioni ya kampeni za uchafuzi mkuuUongozi shirikishi unaotoa fursa za kiuchumi.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza