Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto)

Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie.
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.

Kristo utusikie. – Kristo utusikie.
Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize.

Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie.
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia, – Utuhurumie.
Mungu Roho Mtakatifu, – Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, – Utuhurumie.

Maria Mtakatifu, – Utuombee.
Mzazi Mtakatifu wa Mungu, – Utuombee.
Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira, – Utuombee.
Mama wa Kristo, – Utuombee.
Mama wa Neema ya Mungu, – Utuombee.
Mama Mtakatifu sana, – Utuombee.
Mama mwenye usafi wa Moyo, – Utuombee.
Mama mwenye ubikira, – Utuombee.
Mama usiye na doa, – Utuombee.
Mama mpendelevu, – Utuombee.
Mama mstajabivu, – Utuombee.
Mama wa Muumba, – Utuombee.
Mama wa Mkombozi, – Utuombee.
Mama wa Kanisa, – Utuombee.
Bikira mwenye utaratibu, – Utuombee.
Bikira mwenye heshima, – Utuombee.
Bikira mwenye sifa, – Utuombee.
Bikira mwenye uwezo, – Utuombee.
Bikira mwenye huruma, – Utuombee.
Bikira mwaminifu, – Utuombee.

Kioo cha haki, – Utuombee.
Kikao cha hekima, – Utuombee.
Sababu ya furaha yetu, – Utuombee.
Chombo cha neema, – Utuombee.
Chombo cha kuheshimiwa, – Utuombee.
Chombo bora cha ibada, – Utuombee.
Waridi lenye fumbo, – Utuombee.
Mnara wa Daudi, – Utuombee.
Mnara wa pembe, – Utuombee.
Nyumba ya dhahabu, – Utuombee.
Sanduku la Agano, – Utuombee.
Mlango wa Mbingu, – Utuombee.
Nyota ya asubuhi, – Utuombee.

Afya ya wagonjwa, – Utuombee.
Kimbilio la wakosefu, – Utuombee.
Mtuliza wenye huzuni, – Utuombee.
Msaada wa waKristo, – Utuombee.

Malkia wa Malaika, – Utuombee.
Malkia wa Mababu, – Utuombee.
Malkia wa Manabii, – Utuombee.
Malkia wa Mitume, – Utuombee.
Malkia wa Mashahidi, – Utuombee.
Malkia wa Waungama dini, – Utuombee.
Malkia wa Mabikira, – Utuombee.
Malkia wa Watakatifu wote, – Utuombee.
Malkia aliyezingiwa dhambi ya asili, – Utuombee.
Malkia aliyepalizwa Mbinguni, – Utuombee.
Malkia wa Rozari Takatifu, – Utuombee.
Malkia wa familia, – Utuombee.
Malkia wa Amani, – Utuombee.

Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusamehe, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusikilize, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utuhurumie.

Kristo, utusikie. – Kristo, utusikie.
Kristo, utusikilize. – Kristo, utusikilize.

---

Tuombe.
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu. Amina.
 
Maria awe zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakuomba utuelekee mama,

Eeh mariamu wafahamu wanao wa ugeni----iiiii---ini,
Tupe mamaa usalama
Utulinde hapa chiii--iii--ini
Utulinde hapa chiiiini,

Nyota nzuri ya bahari,
Tuliza dhoruba mba-a-aya
Na za mwovu,
Vunja nguvu simwache kutu-ogo-o-o-ofya
Simwache kutu-ogo-ofya.
 
Naupenda sana huo wimbo wa ee Mariam.
 
Naapa kwa majina yote kwamba lissu asipoachiwa huru nahama tanzania maisha yangu yote na sitarudi tanzania hata kama ni msiba wa familia. Nahama na watoto wangu na wake zangu.
Imefika hadi mtoto wangu ambaye ni rafiki wa lissu hataki kuangalia tv kisa ameswekwa ndani ya nondo.
Ee Mungu Msaidie Lissu
 
Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto)

Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie.
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.

Kristo utusikie. – Kristo utusikie.
Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize.

Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie.
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia, – Utuhurumie.
Mungu Roho Mtakatifu, – Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, – Utuhurumie.

Maria Mtakatifu, – Utuombee.
Mzazi Mtakatifu wa Mungu, – Utuombee.
Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira, – Utuombee.
Mama wa Kristo, – Utuombee.
Mama wa Neema ya Mungu, – Utuombee.
Mama Mtakatifu sana, – Utuombee.
Mama mwenye usafi wa Moyo, – Utuombee.
Mama mwenye ubikira, – Utuombee.
Mama usiye na doa, – Utuombee.
Mama mpendelevu, – Utuombee.
Mama mstajabivu, – Utuombee.
Mama wa Muumba, – Utuombee.
Mama wa Mkombozi, – Utuombee.
Mama wa Kanisa, – Utuombee.
Bikira mwenye utaratibu, – Utuombee.
Bikira mwenye heshima, – Utuombee.
Bikira mwenye sifa, – Utuombee.
Bikira mwenye uwezo, – Utuombee.
Bikira mwenye huruma, – Utuombee.
Bikira mwaminifu, – Utuombee.

Kioo cha haki, – Utuombee.
Kikao cha hekima, – Utuombee.
Sababu ya furaha yetu, – Utuombee.
Chombo cha neema, – Utuombee.
Chombo cha kuheshimiwa, – Utuombee.
Chombo bora cha ibada, – Utuombee.
Waridi lenye fumbo, – Utuombee.
Mnara wa Daudi, – Utuombee.
Mnara wa pembe, – Utuombee.
Nyumba ya dhahabu, – Utuombee.
Sanduku la Agano, – Utuombee.
Mlango wa Mbingu, – Utuombee.
Nyota ya asubuhi, – Utuombee.

Afya ya wagonjwa, – Utuombee.
Kimbilio la wakosefu, – Utuombee.
Mtuliza wenye huzuni, – Utuombee.
Msaada wa waKristo, – Utuombee.

Malkia wa Malaika, – Utuombee.
Malkia wa Mababu, – Utuombee.
Malkia wa Manabii, – Utuombee.
Malkia wa Mitume, – Utuombee.
Malkia wa Mashahidi, – Utuombee.
Malkia wa Waungama dini, – Utuombee.
Malkia wa Mabikira, – Utuombee.
Malkia wa Watakatifu wote, – Utuombee.
Malkia aliyezingiwa dhambi ya asili, – Utuombee.
Malkia aliyepalizwa Mbinguni, – Utuombee.
Malkia wa Rozari Takatifu, – Utuombee.
Malkia wa familia, – Utuombee.
Malkia wa Amani, – Utuombee.

Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusamehe, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusikilize, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utuhurumie.

Kristo, utusikie. – Kristo, utusikie.
Kristo, utusikilize. – Kristo, utusikilize.

---

Tuombe.
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu. Amina.
Amina
 
Naupenda sana huo wimbo wa ee Mariam.

Pamoja na Malaika Mariam mama yetu
Kuimba sifa zo twataka, kubwa yako daraja

Mariam wee zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakusifu utumuelekee mama.

Mazuri ya ulimwengu si kitu mbele yako,
hata nyingi za uwingu za via mbele yake

Mariam we zipokee hizo zako heshima twakuomba twakuimba utwelekee mama.

Hilo ua la bondeni mfano we maria
Nyeupe kwa nje na ndani
Manukato ee tamu

Mariam ee zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakusifu utulekee mama.

Naupenda sana pia mimi wimbo huu mwingine naupenda ni

2. Asante mama wa Yesu asante sana mama Maria, uliyemuombezi

Baraka za mwana wako tunazipata kweli Maria yote ni kwa ajili ya yako muombezi wetu Maria.

3. Tunakushukuru mama Maria kwa neema unazotuombea, asante mama wa Yesu uliye na huruma. Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.

Mama wa Yesu mama mfariji mwema ..........

4. Umsihi mwanao Yesu, Maria, asamehe makosa yangu Anitoe mashaka yote, Maria, yaliyomo moyoni mwangu Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe Mimi mwanao mwenye dhambi

Nyimbo hizi huwa zinanipa tafakari ya ndani mpaka machozi huwa yanatoka yenyewe wakati mwingine.

Pascal Mwqrabu Mungu ampe maisha marefu alijua kutunga nyimbo.

Mama Maria Mama wa Msaada wa Daima, Mama wa Msaada wa Wakristu na Mama wa Shauri Jema simama na Tundu Lisu mpaka mwisho.
 
Pamoja na Malaika Mariam mama yetu
Kuimba sifa zo twataka, kubwa yako daraja

Mariam wee zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakusifu utumuelekee mama.

Mazuri ya ulimwengu si kitu mbele yako,
hata nyingi za uwingu za via mbele yake

Mariam we zipokee hizo zako heshima twakuomba twakuimba utwelekee mama.

Hilo ua la bondeni mfano we maria
Nyeupe kwa nje na ndani
Manukato ee tamu

Mariam ee zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakusifu utulekee mama.

Naupenda sana pia mimi wimbo huu mwingine naupenda ni

2. Asante mama wa Yesu asante sana mama Maria, uliyemuombezi

Baraka za mwana wako tunazipata kweli Maria yote ni kwa ajili ya

3. Tunakushukuru mama Maria kwa neema unazotuombea, asante mama wa Yesu uliye na huruma. Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.

Mama wa Yesu mama mfariji mwema ..........

4. Utuombee kwa mwanao Yesu Maria makosa tulikosea ....

Nyimbo hizi huwa zinanipa tafakari ya ndani mpaka machozi huwa yanatoka yenyewe wakati mwingine.

Pascal Muarabu Mungu ampe maisha marefu alijua kutunga nyimbo.

Mama Maria Mama wa Msaada wa Daima, Mama wa Msaada wa Wakristu na Mama wa Shauri Jema simama na Tundu Lisu mpaka mwisho.
Tumsifu Yesu Kristo mwenyekiti
 
Back
Top Bottom