Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto)

Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie.
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.

Kristo utusikie. – Kristo utusikie.
Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize.

Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie.
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia, – Utuhurumie.
Mungu Roho Mtakatifu, – Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, – Utuhurumie.

Maria Mtakatifu, – Utuombee.
Mzazi Mtakatifu wa Mungu, – Utuombee.
Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira, – Utuombee.
Mama wa Kristo, – Utuombee.
Mama wa Neema ya Mungu, – Utuombee.
Mama Mtakatifu sana, – Utuombee.
Mama mwenye usafi wa Moyo, – Utuombee.
Mama mwenye ubikira, – Utuombee.
Mama usiye na doa, – Utuombee.
Mama mpendelevu, – Utuombee.
Mama mstajabivu, – Utuombee.
Mama wa Muumba, – Utuombee.
Mama wa Mkombozi, – Utuombee.
Mama wa Kanisa, – Utuombee.
Bikira mwenye utaratibu, – Utuombee.
Bikira mwenye heshima, – Utuombee.
Bikira mwenye sifa, – Utuombee.
Bikira mwenye uwezo, – Utuombee.
Bikira mwenye huruma, – Utuombee.
Bikira mwaminifu, – Utuombee.

Kioo cha haki, – Utuombee.
Kikao cha hekima, – Utuombee.
Sababu ya furaha yetu, – Utuombee.
Chombo cha neema, – Utuombee.
Chombo cha kuheshimiwa, – Utuombee.
Chombo bora cha ibada, – Utuombee.
Waridi lenye fumbo, – Utuombee.
Mnara wa Daudi, – Utuombee.
Mnara wa pembe, – Utuombee.
Nyumba ya dhahabu, – Utuombee.
Sanduku la Agano, – Utuombee.
Mlango wa Mbingu, – Utuombee.
Nyota ya asubuhi, – Utuombee.

Afya ya wagonjwa, – Utuombee.
Kimbilio la wakosefu, – Utuombee.
Mtuliza wenye huzuni, – Utuombee.
Msaada wa waKristo, – Utuombee.

Malkia wa Malaika, – Utuombee.
Malkia wa Mababu, – Utuombee.
Malkia wa Manabii, – Utuombee.
Malkia wa Mitume, – Utuombee.
Malkia wa Mashahidi, – Utuombee.
Malkia wa Waungama dini, – Utuombee.
Malkia wa Mabikira, – Utuombee.
Malkia wa Watakatifu wote, – Utuombee.
Malkia aliyezingiwa dhambi ya asili, – Utuombee.
Malkia aliyepalizwa Mbinguni, – Utuombee.
Malkia wa Rozari Takatifu, – Utuombee.
Malkia wa familia, – Utuombee.
Malkia wa Amani, – Utuombee.

Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusamehe, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusikilize, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utuhurumie.

Kristo, utusikie. – Kristo, utusikie.
Kristo, utusikilize. – Kristo, utusikilize.

---

Tuombe.
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu. Amina.
Rozari yenyewe iko gerezani, inategemea Tundu Lissu aitoe
 
Kwa swali hili lazima utaukana usemi wa 'Tunakula ili tusife "!

Mwambie huyo Yoda asikilize mahubiri ya Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa'ichi yanayo sema kwa nini Mungu anaruhusu watu wema wajaribiwe/ wapitie shida au wapite katika magumu.

Askofu Mkuu Ruwa'ichi ni mbobevu wa kiwango cha Uzamivu kwenye Falsafa tena kwenye Metaphyics ambayo ni Falsafa ngumu sana.
 
Mbona ilishindwa kuzuia asipelekwe gerezani??
Kila jambo ambalo Mungu anaruhusu lina hekima yake. Aliruhusu hata mwanae wa pekee afe msalabani ili shetani na mawakala wao waamini wameshinda, lakini siku ya tatu alifufuka akiwa na mamlaka na ukuu usioweza kugusika na shetani wala mwanadamu yeyote. Pilato aliyetoa hukumu dhidi yake, bila sababu iliyofahamika kwa wanadamu, baadaye alijiua, huku mkewe akiwatafuta mitume na kisha kubatizwa na kuwa miongoni mwa wakristo wa mwanzo.

Wapo wengi wanaomwomba Mungu usiku na mchana kwaajili ya mtu wa haki Tundu Lisu, na wote wanaoonewa na kudhulumiwa. Hakuna maombi yenye dhamira ya kweli ambayo hayasikilizwi na Mungu, japo majibu yanaweza kuwa tofauti na tegemeo la Mwanadamu, kwa sababu hekima ya Mungu siyo ya mwanadamu. Na hata mitume wake kuna wakati walimwomba au hata bila ya kumwomba, aliwaokoa na vifo na mateso mbalimbali, lakini kuna wakati aliacha mabaya yawapate, kiasi cha wabaya wao kufurahia na kuona wameshinda. Petro aliuawa kule Roma kwa amri ya mfalme Nero, lakini baada ya miaka michache, akiwa bafo kijana kabisa, Nero alijiua. Na hata wafalme waliofuatia, wakifuata msimamo wa Nero, nao kila mmoja alitawala kwa muda mfupi na kuondoka Duniani. Wote hao walienda kukutana na walikowapeleka waliowaua. Huko kulitokea nini, hakuna mwanafamu ajuaye.

Mtume Paulo anasema, ni nini kitakachonitenganisha na upendo wa Kristo? Hakuna hata kimoja, si mauti, si mateso, si umaskini, si magonjwa.
Kwa hekima ya mwanadamu, ukiomba, kusipotokea ulichoomba, unaishia kufikiria kuwa maombi yako hayajamfikia Mungu! Mungu hujibu kwa hekima yake, wakati wake na kwa namna yake. Wanaoomba hawastahili kukata tamaa, waendelee kumtumainia Mungu siku zote.
 
Ufanye makosa harafu utegemee rozali.

Anaweza hukumiwa harafu akapewa msamaha na Rais lakini hukumu yake itamkosesha Haki ya kushiriki siasa tena.

Wote waliopambana na Dunia mwisho wao unajua.
 
Ufanye makosa harafu utegemee rozali.

Anaweza hukumiwa harafu akapewa msamaha na Rais lakini hukumu yake itamkosesha Haki ya kushiriki siasa tena.

Wote waliopambana na Dunia mwisho wao unajua.

We know those are arranges 😃 in Nigeria tune.

Ila hata kama sio Lisu wataibuka wapigania haki wengine wengi. Ingekuwa vema wakajifunza uvumilivu wa kisiasa kutoka Kenya.
 
We know those are arranges 😃 in Nigeria tune.

Ila hata kama sio Lisu wataibuka wapigania haki wengine wengi. Ingekuwa vema wakajifunza uvumilivu wa kisiasa kutoka Kenya.
Dunia haijawahi ishiwa Wanaoitwa wapigania haki Kwa sababu watu wanazaliwa na wito tofauti lakini kama kawaida fate ya wapigania Haki inajukikana .RIP Sarawiwa.
 
Dunia haijawahi ishiwa Wanaoitwa wapigania haki Kwa sababu watu wanazaliwa na wito tofauti lakini kama kawaida fate ya wapigania Haki inajukikana .RIP Sarawiwa.

Lakini tumeona matokeo chanya wa uwepo wao, Mungu amewapa ujasiri wakuwasemea wengine sio kila mtu amepewa hivyo. Wewe uliyemuoga kama mimi tutulie.
 
Mwambie huyo Yoda asikilize mahubiri ya Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa'ichi yanayo sema kwa nini Mungu anaruhusu watu wema wajaribiwe/ wapitie shida au wapite katika magumu.

Askofu Mkuu Ruwa'ichi ni mbobevu wa kiwango cha Uzamivu kwenye Falsafa tena kwenye Metaphyics ambayo ni Falsafa ngumu sana.
Mlete Papa kabisa au Kadinali, Ruwaichi mdogo sana.
 
Kila jambo ambalo Mungu anaruhusu lina hekima yake. Aliruhusu hata mwanae wa pekee afe msalabani ili shetani na mawakala wao waamini wameshinda, lakini siku ya tatu alifufuka akiwa na mamlaka na ukuu usioweza kugusika na shetani wala mwanadamu yeyote. Pilato aliyetoa hukumu dhidi yake, bila sababu iliyofahamika kwa wanadamu, baadaye alijiua, huku mkewe akiwatafuta mitume na kisha kubatizwa na kuwa miongoni mwa wakristo wa mwanzo.

Wapo wengi wanaomwomba Mungu usiku na mchana kwaajili ya mtu wa haki Tundu Lisu, na wote wanaoonewa na kudhulumiwa. Hakuna maombi yenye dhamira ya kweli ambayo hayasikilizwi na Mungu, japo majibu yanaweza kuwa tofauti na tegemeo la Mwanadamu, kwa sababu hekima ya Mungu siyo ya mwanadamu. Na hata mitume wake kuna wakati walimwomba au hata bila ya kumwomba, aliwaokoa na vifo na mateso mbalimbali, lakini kuna wakati aliacha mabaya yawapate, kiasi cha wabaya wao kufurahia na kuona wameshinda. Petro aliuawa kule Roma kwa amri ya mfalme Nero, lakini baada ya miaka michache, akiwa bafo kijana kabisa, Nero alijiua. Na hata wafalme waliofuatia, wakifuata msimamo wa Nero, nao kila mmoja alitawala kwa muda mfupi na kuondoka Duniani. Wote hao walienda kukutana na walikowapeleka waliowaua. Huko kulitokea nini, hakuna mwanafamu ajuaye.

Mtume Paulo anasema, ni nini kitakachonitenganisha na upendo wa Kristo? Hakuna hata kimoja, si mauti, si mateso, si umaskini, si magonjwa.
Kwa hekima ya mwanadamu, ukiomba, kusipotokea ulichoomba, unaishia kufikiria kuwa maombi yako hayajamfikia Mungu! Mungu hujibu kwa hekima yake, wakati wake na kwa namna yake. Wanaoomba hawastahili kukata tamaa, waendelee kumtumainia Mungu siku zote.
Sasa kama mnakubali yanaweza kuwa pia ni mapenzi ya huyo mungu Lissu kuhukumiwa kifo au kufungwa maisha bado mnahangaika na rozari ya nini?!

Kwa maelezo yako ni kwamba huyo mungu ana mipango yake kwa Lissu tayari aliyompangia yenye hekima zake, ina maana hata kama mkiomba rozari mara milioni moja hamtaweza kubadilisha mipango yake, yani inawezekana ameshapanga pia Lissu kufungwa maisha au kunyongwa!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom