Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Lazima apitie hayo anayoyapitia maana njia ikiwa nyepesi, moyo wa mwanadamu husahau kama kuna Mungu muweza yote...
Sio lazima apitie haya anayopitia, haya anapitia kwa sababu yeye ni mpenda demokrasia asiyekubali kunyamazishwa na nchi yetu sio ya kidemokrasia kama zilivyo Ulaya, Marekani, Canada, Japan, South Korea n.k Hayapitii haya ili ajue mwenyezi mungu ni mweza wa yote.
 
Hizo porojo zako waliozileta wameshaziacha, rozari ni ibada za sanamu na ni chukizo kubwa mbele za Mungu wa kweli. Acheni kujidanganya na kufanya maigizo, Lissu mwenyewe mshirikina ndakindaki
Wewe mwenyewe huyo mungu wa kweli ulimjulia wapi?? Unaweza kuthibitisha??
 
Wana wa Israel walipokuwa wamekaa utumwani miaka 430 hivi Farao aligoma kuwaruhusu waondoke. Mungu alichofanya aliwapa majanga wamisri ikiwa lengo ni kuwaachia wana wa Israel. Lakini Farao na mawaziri wake waligoma kuwaachia wana wa Israel. Kilichotokea ni wazaliwa wa kwanza wa binadamu na wanyama kufa kwa wakati mmoja. Ndio akili ikawapata na kuwaruhusu waisrael kuondoka tena kwa shida. Naona dalili zote za kutakiwa kumwachia Mh. Lissu ni tayari lakini naona walio kwenye mamlaka wanashupaza shingo. Kitakachotokea nina uhakika kitakuwa afadhali ile issue ya wazaliwa wa kwanza. Shtukeni
 
Back
Top Bottom