Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Rozari ni urembo tu kama bracelet au mdoli wa kumzubaisha mtoto anayesumbua atulize akili yake atulie.Rozali ina nguvu kuliko hata hilo gereza
Rozari ni urembo tu kama bracelet au mdoli wa kumzubaisha mtoto anayesumbua atulize akili yake atulie.Rozali ina nguvu kuliko hata hilo gereza
Bora waende kwa Mwamposa anayefuta kesi kabisa, tatizo yeye ni CCM itakuwa vigumu kufuta kesi zilizoanzishwa na CCM😁Ufanye makosa harafu utegemee rozali.
Anaweza hukumiwa harafu akapewa msamaha na Rais lakini hukumu yake itamkosesha Haki ya kushiriki siasa tena.
Wote waliopambana na Dunia mwisho wao unajua.
Mungu pia amewapa ujasiri wakina Samia, Wambura, Katuga na majaji kumfunga Lissu😁Lakini tumeona matokeo chanya wa uwepo wao, Mungu amewapa ujasiri wakuwasemea wengine sio kila mtu amepewa hivyo. Wewe uliyemuoga kama mimi tutulie.
aika mbe!Akeri Ruwewu ni Aliye/aliyepo Mbinguni
Kukeri Mashayo ? ...... upo wapi Mashayo ?
Mungu pia amewapa ujasiri wakina Samia, Wambura, Katuga na majaji kumfunga Lissu😁
aika mbe!
SawaRozari ni urembo tu kama bracelet au mdoli wa kumzubaisha mtoto anayesumbua atulize akili yake atulie.
Sawaunaweza ukawa umeelimika lakn bado huna akili
Umetuzidi nini tunaosali rozaliunaweza ukawa umeelimika lakn bado huna akili
Daima!Uzi umebamba kijumuiyajumuiya.Mapendo!
Hizo porojo zako waliozileta wameshaziacha, rozari ni ibada za sanamu na ni chukizo kubwa mbele za Mungu wa kweli. Acheni kujidanganya na kufanya maigizo, Lissu mwenyewe mshirikina ndakindakiLitania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto)
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie.
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utusikie. – Kristo utusikie.
Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize.
Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie.
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia, – Utuhurumie.
Mungu Roho Mtakatifu, – Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, – Utuhurumie.
Maria Mtakatifu, – Utuombee.
Mzazi Mtakatifu wa Mungu, – Utuombee.
Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira, – Utuombee.
Mama wa Kristo, – Utuombee.
Mama wa Neema ya Mungu, – Utuombee.
Mama Mtakatifu sana, – Utuombee.
Mama mwenye usafi wa Moyo, – Utuombee.
Mama mwenye ubikira, – Utuombee.
Mama usiye na doa, – Utuombee.
Mama mpendelevu, – Utuombee.
Mama mstajabivu, – Utuombee.
Mama wa Muumba, – Utuombee.
Mama wa Mkombozi, – Utuombee.
Mama wa Kanisa, – Utuombee.
Bikira mwenye utaratibu, – Utuombee.
Bikira mwenye heshima, – Utuombee.
Bikira mwenye sifa, – Utuombee.
Bikira mwenye uwezo, – Utuombee.
Bikira mwenye huruma, – Utuombee.
Bikira mwaminifu, – Utuombee.
Kioo cha haki, – Utuombee.
Kikao cha hekima, – Utuombee.
Sababu ya furaha yetu, – Utuombee.
Chombo cha neema, – Utuombee.
Chombo cha kuheshimiwa, – Utuombee.
Chombo bora cha ibada, – Utuombee.
Waridi lenye fumbo, – Utuombee.
Mnara wa Daudi, – Utuombee.
Mnara wa pembe, – Utuombee.
Nyumba ya dhahabu, – Utuombee.
Sanduku la Agano, – Utuombee.
Mlango wa Mbingu, – Utuombee.
Nyota ya asubuhi, – Utuombee.
Afya ya wagonjwa, – Utuombee.
Kimbilio la wakosefu, – Utuombee.
Mtuliza wenye huzuni, – Utuombee.
Msaada wa waKristo, – Utuombee.
Malkia wa Malaika, – Utuombee.
Malkia wa Mababu, – Utuombee.
Malkia wa Manabii, – Utuombee.
Malkia wa Mitume, – Utuombee.
Malkia wa Mashahidi, – Utuombee.
Malkia wa Waungama dini, – Utuombee.
Malkia wa Mabikira, – Utuombee.
Malkia wa Watakatifu wote, – Utuombee.
Malkia aliyezingiwa dhambi ya asili, – Utuombee.
Malkia aliyepalizwa Mbinguni, – Utuombee.
Malkia wa Rozari Takatifu, – Utuombee.
Malkia wa familia, – Utuombee.
Malkia wa Amani, – Utuombee.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusamehe, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusikilize, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utuhurumie.
Kristo, utusikie. – Kristo, utusikie.
Kristo, utusikilize. – Kristo, utusikilize.
---
Tuombe.
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu. Amina.
Kila mtu aabudu anakojisikia unachokiona mavi wewe kwetu ni dhahabuHizo porojo zako waliozileta wameshaziacha, rozari ni ibada za sanamu na ni chukizo kubwa mbele za Mungu wa kweli. Acheni kujidanganya na kufanya maigizo, Lissu mwenyewe mshirikina ndakindaki
Kanisa katoliki limewapumbaza hawa viumbe weusi na inawaenjoy km mazuzu yao! Wamewatungia vitabu namna ya kuomba, hv we hujui maneno ya kuongea na babako aliye sirini? Kwamba sala zetu zifanane, tuna mahitaji yanayofanana? Acheni uzumbukukuLitania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto)
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie.
Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie.
Kristo utusikie. – Kristo utusikie.
Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize.
Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie.
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia, – Utuhurumie.
Mungu Roho Mtakatifu, – Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, – Utuhurumie.
Maria Mtakatifu, – Utuombee.
Mzazi Mtakatifu wa Mungu, – Utuombee.
Bikira Mtakatifu Mkuu wa Mabikira, – Utuombee.
Mama wa Kristo, – Utuombee.
Mama wa Neema ya Mungu, – Utuombee.
Mama Mtakatifu sana, – Utuombee.
Mama mwenye usafi wa Moyo, – Utuombee.
Mama mwenye ubikira, – Utuombee.
Mama usiye na doa, – Utuombee.
Mama mpendelevu, – Utuombee.
Mama mstajabivu, – Utuombee.
Mama wa Muumba, – Utuombee.
Mama wa Mkombozi, – Utuombee.
Mama wa Kanisa, – Utuombee.
Bikira mwenye utaratibu, – Utuombee.
Bikira mwenye heshima, – Utuombee.
Bikira mwenye sifa, – Utuombee.
Bikira mwenye uwezo, – Utuombee.
Bikira mwenye huruma, – Utuombee.
Bikira mwaminifu, – Utuombee.
Kioo cha haki, – Utuombee.
Kikao cha hekima, – Utuombee.
Sababu ya furaha yetu, – Utuombee.
Chombo cha neema, – Utuombee.
Chombo cha kuheshimiwa, – Utuombee.
Chombo bora cha ibada, – Utuombee.
Waridi lenye fumbo, – Utuombee.
Mnara wa Daudi, – Utuombee.
Mnara wa pembe, – Utuombee.
Nyumba ya dhahabu, – Utuombee.
Sanduku la Agano, – Utuombee.
Mlango wa Mbingu, – Utuombee.
Nyota ya asubuhi, – Utuombee.
Afya ya wagonjwa, – Utuombee.
Kimbilio la wakosefu, – Utuombee.
Mtuliza wenye huzuni, – Utuombee.
Msaada wa waKristo, – Utuombee.
Malkia wa Malaika, – Utuombee.
Malkia wa Mababu, – Utuombee.
Malkia wa Manabii, – Utuombee.
Malkia wa Mitume, – Utuombee.
Malkia wa Mashahidi, – Utuombee.
Malkia wa Waungama dini, – Utuombee.
Malkia wa Mabikira, – Utuombee.
Malkia wa Watakatifu wote, – Utuombee.
Malkia aliyezingiwa dhambi ya asili, – Utuombee.
Malkia aliyepalizwa Mbinguni, – Utuombee.
Malkia wa Rozari Takatifu, – Utuombee.
Malkia wa familia, – Utuombee.
Malkia wa Amani, – Utuombee.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusamehe, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utusikilize, Bwana.
Mwana-Kondoo wa Mungu, anayeondoa dhambi za dunia, – Utuhurumie.
Kristo, utusikie. – Kristo, utusikie.
Kristo, utusikilize. – Kristo, utusikilize.
---
Tuombe.
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu. Amina.
We ni zombie tuKila mtu aabudu anakojisikia unachokiona mavi wewe kwetu ni dhahabu
Ni aibu kumuabudu marehemu binadamu mwenzako! Ni uzembe, uvivu uliokithiri.Maria awe zipokee hizo zako heshima
Twakuimba twakuomba utuelekee mama,
Eeh mariamu wafahamu wanao wa ugeni----iiiii---ini,
Tupe mamaa usalama
Utulinde hapa chiii--iii--ini
Utulinde hapa chiiiini,
Nyota nzuri ya bahari,
Tuliza dhoruba mba-a-aya
Na za mwovu,
Vunja nguvu simwache kutu-ogo-o-o-ofya
Simwache kutu-ogo-ofya.
Ndo maana nikasema kila mtu achange karata zake. Hiyo kuabudu sanamu unaabudu wewe?Kanisa katoliki limewapumbaza hawa viumbe weusi na inawaenjoy km mazuzu yao! Wamewatungia vitabu namna ya kuomba, hv we hujui maneno ya kuongea na babako aliye sirini? Kwamba sala zetu zifanane, tuna mahitaji yanayofanana? Acheni uzumbukuku
ThibitishaRozali ina nguvu kuliko hata hilo gereza
We unadhani unaweza nishawishi kwa huyo bibi yenu aliyewadanganya muuze mali zote mwaka 2000 eti ni siku ya mwisho. Wakati Yesu mwenyewe alishasema hakuna malaika wala mwanadamu anayejua siku ya mwisho. Nyie mkajitia kimbelembeleWe ni zombie tu
Hata huu uzi kupata wachangiaji wengi ni nguvu ya rozaliThibitisha