Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

Ufanye makosa harafu utegemee rozali.

Anaweza hukumiwa harafu akapewa msamaha na Rais lakini hukumu yake itamkosesha Haki ya kushiriki siasa tena.

Wote waliopambana na Dunia mwisho wao unajua.
Bora waende kwa Mwamposa anayefuta kesi kabisa, tatizo yeye ni CCM itakuwa vigumu kufuta kesi zilizoanzishwa na CCM😁
 
Hizo porojo zako waliozileta wameshaziacha, rozari ni ibada za sanamu na ni chukizo kubwa mbele za Mungu wa kweli. Acheni kujidanganya na kufanya maigizo, Lissu mwenyewe mshirikina ndakindaki
 
Kanisa katoliki limewapumbaza hawa viumbe weusi na inawaenjoy km mazuzu yao! Wamewatungia vitabu namna ya kuomba, hv we hujui maneno ya kuongea na babako aliye sirini? Kwamba sala zetu zifanane, tuna mahitaji yanayofanana? Acheni uzumbukuku
 
Ni aibu kumuabudu marehemu binadamu mwenzako! Ni uzembe, uvivu uliokithiri.
 
Kanisa katoliki limewapumbaza hawa viumbe weusi na inawaenjoy km mazuzu yao! Wamewatungia vitabu namna ya kuomba, hv we hujui maneno ya kuongea na babako aliye sirini? Kwamba sala zetu zifanane, tuna mahitaji yanayofanana? Acheni uzumbukuku
Ndo maana nikasema kila mtu achange karata zake. Hiyo kuabudu sanamu unaabudu wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…