Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Utalijua Jiji, ikiwa heshima kwako ni wewe, kikubwa kila nachomwomba Mama maria waridi la kondeni napata mengine hayanihusu,Ni aibu kumuabudu marehemu binadamu mwenzako! Ni uzembe, uvivu uliokithiri.
Sio lazima apitie haya anayopitia, haya anapitia kwa sababu yeye ni mpenda demokrasia asiyekubali kunyamazishwa na nchi yetu sio ya kidemokrasia kama zilivyo Ulaya, Marekani, Canada, Japan, South Korea n.k Hayapitii haya ili ajue mwenyezi mungu ni mweza wa yote.Lazima apitie hayo anayoyapitia maana njia ikiwa nyepesi, moyo wa mwanadamu husahau kama kuna Mungu muweza yote...
Nyie wassbato ndo hamjitambui yaani mnadiriki kumuita bikra Maria ni bahasha iliyotumika kufunga barua na kutupwa. Wakati Maria alibarikiwa kwanza kabla ya mwanae(Yesu) Luka1:28Ni aibu kumuabudu marehemu binadamu mwenzako! Ni uzembe, uvivu uliokithiri.
Wewe mwenyewe huyo mungu wa kweli ulimjulia wapi?? Unaweza kuthibitisha??Hizo porojo zako waliozileta wameshaziacha, rozari ni ibada za sanamu na ni chukizo kubwa mbele za Mungu wa kweli. Acheni kujidanganya na kufanya maigizo, Lissu mwenyewe mshirikina ndakindaki
Kitu gani uliwahi kumuomba Maria ukakipata ?Utalijua Jiji, ikiwa heshima kwako ni wewe, kikubwa kila nachomwomba Mama maria waridi la kondeni napata mengine hayanihusu,
Kazi, familia na mambo mengine mengiKitu gani uliwahi kumuomba Maria ukakipata ?
Upendo wa Mungu hauelezekiKitu gani uliwahi kumuomba Maria ukakipata ?
Unaujuaje kama hauelezeki ?Upendo wa Mungu hauelezeki
Una uhakika bila Maria usingepata kazi na familia ?Kazi, familia na mambo mengine mengi
InawezknUna uhay bila Maria usingepata kazi na familia ?
Ninaweza kukuonyesha bilioni za Watu walio na kazi na familia ambao hawamjui hata huyo Maria.Inawezkn
Ni za watu siyo zakoNinaweza kukuonyesha bilioni za Watu walio na kazi na familia ambao hawamjui hata huyo Maria.
Ninaweza kukuonyesha bilioni za Watu walio na kazi na familia ambao hawamjui hata huyo Maria.