Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?


[emoji23]
 
Yaani kama ulikafinya,hio safiiii mtoto mdg ahui hata maisha hio tv ajui hata bei yake...

Broo wako, nae ni mtuuuu ataki ujinga
 


Umenikumbusha hii story ya mwamba..........πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kumbe wewe ni wa kike..!
 
Nilienda kutembelea ndugu jijini dar es salaam sasa katoto ka sister kakaja tukawa tunapakua msosi nilivyomaliza kukapakulia.nikajipakulia na mimi wacha kashtuke eti khee njomba unakula sana naenda kusema kwa mamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo likipigwa bomu linaua basi zima kwa mchanganyiko huo.
 
Kwa aunt analmtoto 5years wa kiume,yaani anawasha gesi inshot ana mambo ya hatari sana,muharibifu,binti wa kazi anakoma,

Nilikuwa zangu jikoni nimepika nikatoka,nikasimama dinning natizama nje,

Yule mtoto sijui alipita muda gani kuelekea jikoni,nashtuka nimebandikwa na kisu cha moto mkononi aisee nilitamani ardhi ipasuke,,,,,alidundwa na mama yake na Mungu akamlaani siku ya pili alikuwa anachezea moto wa mkaa akaukanyaga kwa miguu yote miwili,aliungua vibaya sana,

Siku naondoka kananiambia usiondoke mie nitabaki na nani,aunt nikikumisi utakuja kuniona huku kanalia,

Sijaendaga tena,wanaishia tu kuniambia utakuja lini,

Maana aunt analalamika adumu na wasichana wa kazi,,nikagundua shida ni tabia za mwanae maana mwenyewe yupo poa tu

nahisi inasababishwa pia na malezi ya mama pekee
 
Huyu mtoto wa binamu yangu bwana nacheza cheza nae sii akaanza kunichapa ngumi kwenye de libolo. Sasa ilibidi nijikaze tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wee jamaa πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Kuna kale katabia nadhani asilimia kubwa tulikuaga nako utotoni home kipindi hicho wakipika wali unachukia kinyama kwanini mgeni kaja atamaliza wali wenu [emoji16][emoji16][emoji16] pia kuna baadhi ya wamama nishawachora wengi mgeni akija hasa mda wakuandaa wali mezani

Hamli hadi mgeni asepe zake [emoji16][emoji16][emoji23] daaahh!! Noma jamani nikikumbuka nacheka kinyama...

Au mfano unacheza na mtoto mwenzio kwao wakapika ugari kwenu wali kama huwa mnatabia ya kila mmoja kwenda kula kwa mwenzake akikuzingua tu unamchimba biti "usije kwetu kula"[emoji16][emoji16]

Nakumbuka siku moja kwa uroho wangu nilienda kula nyumba moja hivi jirani na kwetu walipika wali na ndondo ukicheki home kuna nguna baada ya kumaliza michezo na wale watoto wa ile nyumba si wakanikalibisha njoo ule bana...

Basi mara ya kwanza nikagoma mara pili nikasogea japo kwa uoga maana bibi wa watoto wa ile nyumba alikuwaga mchawi na bi mkubwa alishanipiga stop kula kwa watu especially ile nyumba.

We sinikafwatwa na dada wa kazi wakanitetea kwamba nimalize kula ntaenda yeye arudi tu nilivomaliza kula narudi home sitosahau nichezea stickkkk![emoji16][emoji16][emoji23] tangu siku hiyo sijawahi tena kula kwa watu.
 
Ila haya malezi ya sasa haki vile wengI wetu tutakuja kujibu mbele za Mungu.
Na wengi tunaojikosha hapa ukute ndo sisi sisi tunawalea akina junya huko nyumban sema tu ni vile hatujuani

Mungu aturehemu kiukweli
Mkuu we acha tu, kuna anti yangu mmoja ni kauzu kwelikweli kwa sisi wengine ila watoto wake anavyowalea ni kichefuchefu
 
Sasa na weye unaendaga kula kwa watu ili iweje?
Hujui kama mafuta yamepanda bei?
Sometimes baadhi ya wazazi humtuma mtoto akaropoke maneno kwa mgeni ili ajiongeze maisha magumu mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili swali lilinishangaza maana sijawahi kula kwenye huo mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…