Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

kama issue ni experience basi tuna ma DMO ambao ni MD MPH wenye experience kuliko yeye kwa nini wasipewe cheo hiko?punguzeni ujuaji.

Wamefanya nini kipya kwenye mikoa yao kila siku ni semina tu zakutengeneza hasa mwishoni mwa mwaka na mademu zao manesi baadhi ya maeneo hospital hazina hata syringe na fedha za makusanyo ya uchangiaji wa wananchi wanakula na wahasibu.
 

Mkuu unaeleza kana kwamba it is an offense kwa daktari kuwa mtawala..lakini nikukumbushe pamoja na kazi za Administration jukumu la DMO na RMO ana kazi ya kitaaluma, Proffesional..nikupe mfano;mfano kazi za kusimamia hospitali kama mtaalamu (na sio kama mtawala), utokeaji wa magonjwa ya mlipuko, magonjwa hatari ya kutokwa damu.mf. Ebola n.k..kote kunahotaji expertise kama daktari na SIO kama mtawala!
 

Sasa, km ulikuwa na AMO tayari, na kitabu ni kile kile, ilikuwaje ukaenda kupoteza miaka 6 ili kuwa registered MD(MO)?

Km kigezo ni MD, apewe MD, si AMO, acheni ujanja ujanja.
 
mwalimu mkuu diploma..... mwalimu wa kawaida MASTERS this is how we do!

Haohao wenye degree na masters ndio wametufikisha hapa tulipo na elimu zao hazizalishi kitu mikoani hawataki kuja na ndio wengi viongozi huko wizarani hospitali hazina hata panadol siwabunifu acha na AMO tuwaone nao.
 
Sasa, km ulikuwa na AMO tayari, na kitabu ni kile kile, ilikuwaje ukaenda kupoteza miaka 6 ili kuwa registered MD(MO)?

Km kigezo ni MD, apewe MD, si AMO, acheni ujanja ujanja.

Mbona kwenye mahospitali ya wilaya kwenye wananchi wengi hatuwaoni kama sio kutaka vyeo tu na kutembea mikono mifukoni hamtaki kuwasaidia watu.
 

Kweli we ndo maana ulianzia u CO, u AMO!
Kwamba kwa vile kitabu ni hicho hicho i.e Davidson, na kinatumiwa na hadi Specialist, basi rank za elimu hazina tofauti kubwa!
Hukawii kusema kwa vile Das inatumiwa na MD na Surgeons wkt wa shule, basi MD ni equivalent na surgeon!
 
Ata mi na hivi viwango butu kielimu bado ninamatumaini ya kula post la ukweli ilimradi gamba libaki magogoni.
 
pumba tupu degree is equivalent to advanced diploma au we shida yako n nn?

Mkuu mambo hayako rahisi hivyo, (na kama yako hivyo siyo katika taaluma ya udaktari)..AMO pamoja na countless years he might have, akitaka kuwa DAKTARI (MD) bado atasoma tena miaka mitano, mkuu.!!
 

Hahaha..mkuu,
I wish ungejua AMO wanasoma nini na MD wanasoma nini!
Then ulete experience!!
Haijalishi amemaliza chuo leo au atamaliza chuo kesho..is eligibility ndiyo suala la msingi hapa!
 
Kanuni inamtaka mteule wa nafasi hyo ya mganga mkuu awe na digrii na vigezo vingne vya ziada ikiwa ni pamoja na uzoefu na kaz ya utabibu. Kama kigezo cha msing ingekuwa ni uzoefu basi kuna manesi wana miaka 30 kazini wangeteuliwa hao.
 
hiyo haijalishi, hata mlie vipi hamuwezi kupewa. wakati mwingine bora kuangalia maslahi ya taifa, kuliko kuwapa ninyi mnaojifanya wajuaji na kuacha watu wafe tu.

Hata tulie vipi hatupewi??..mkuu suala hapa si kulilia madaraka..you're really missing the point here! Kwani mikoa yenyewe iko mingapi hadi watu "walilie" hayo madaraka?!..Suala ni management in health system...I would understand kama MDs wangekuwa hakuna kiasi cha kwamba AMOs should take the place!!Not for governing sake but for health management's.
 

Hembu nipe tofauti ya AMO na MD Kiutendaji kwa hapa kwetu Tanzania acheni kutishatisha watu nasema sioni kipya na kutaja kitabu ni Mfano tu na hiyo Das kubwa sijui ndogo sijui bailey and love ni vitabu tu sijawahi kuona tofauti ya mgonjwa aliyetibiwa na MD na AMO wakapona tofauti,hembu nambie hao ma MD tangu timeanza kuwapa uongozi wa URMO mpaka DMO wamefanyanini kama sio uoza tu.
 
pole sana kwa kukosa huduma hiyo ya ki-MD .Rudi kwenye suala la msingi.... Je walioweka vigezo vya kuwa RMO walikosea?anacholalamikia mleta thread ni ukiukwaji wa taratibu zilizopo!

Kuna post yangu nimeeleza wazi kuwa most of RMOs ni makada wa ccm
 
huwezi kuona hizo tofauti kama kila siku unatibiwa na AMO na anakuambia una malaria,uti na sti
 

Maelezo mazuri haya mkuu...na SAHIHI.
 

Msendekwa, unanikumusha ile issue ya Mhe. Tundu Lissu na majaji wasio kuwa na degree ya sheria. It is very important to meet the required qualifications as recommended. Unless you change them otherwise adherence to agreed and documented qualifications must be followed.
Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…