Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

umesema vema. Vile vile, wkt AMO anafundishwa jinsi ya kupasua, MD anafundishwa
1. When to cut
2. What to cut
3. How to cut
4. When and what not to cut.
Na hao wanaodai CO na AMO ni wazuri kuliko MD, kwa kigezo cha uzoefu, wanashindwa kufikiri.
MD akitoka chuo, ni wazi akimkuta AMO kazini, atakuwa anazidiwa skills, but baada ya muda fulani, MD anakuwa safi kwa skills na theory, wkt AMO anajua skils tu zaidi.
Na ikimbukwe kuwa MDs ndo walimu wa AMO kwenye vyuo, chini ya Specialist.
Wengi wenu wanamtazama MD anaeanza kazi tu, bila kujua kuwa kuna MD wapo kazini kitambo na wanapiga kazi.
Ht huyo AMO akitoka chuo akamkuta MD, atakuwa mweupe kwenye skils na atahitaji kujifunza na kupata uzoefu.
Na hao jamaa wanafanya malpractice nyingi sana huko wilayani, na ht malalamiko ya rushwa hosp, wahusika waku ni hao junior cadres.

Hivi ninyi MD mnajiona so special sana theory yako kuwa nzuri wakati haimsaidii mgonjwa ndio nini wakati AMO anauzoefu na kazi anatibu wanapona ukumbuke lengo ni mgonjwa kupona hapa sisi theory haituponyeshi huyu AMO hata kama hajui reasoning lengo amelifikia ni kutuponyesha.Mtabaki kulalama tu mtaani ooh AMO sio Doctor wenzenu wanapiga kazi tena wanawaajili kwenye hospital zao na AMO wanaaminika kazi wanajua mnaaply theory za vitabu kwenye nchi yenye dawa feki lukuki wagonjwa wasipo pona mnaonekana hopeless lakini MD wengine mmezidi ujinga hamjiongezi mnauzi sana mnapochagua maeneo ya kufanyia kazi,kazi hamfanyi kazi yenu ni kujishika mifukoni hasa wa muhimbili wacha AMO wapige mzigo akiliiwasogee.
 
Your signature says it all!
 
Radii Mambo mengine ni wivu na choko choko ambazo hazina msingi wowote. Hawa AMO ndio wamejaa katika Hospitali nyingi na ndio wanaotoa tiba kwa sehemu kubwa ya Watanzania. Hawa AMO wamekuwa wakishika nafasi za DMOs ambayo haina tofauti na RMOs. Hii si nafasi ya utabibu ni nafasi ya Utawala ambayo hata Nesi, Afisa Afya au hata Katibu wa Afya anaweza akashika. Mkoa wa Tanga ulikuwa chini ya Afisa Afya akishika nafasi ya RMO kwa muda mrefu sana.

MDs acheni arrogance utawala sio lazima uwe MD???? Badilikeni acheni kuyumbisha Wizara plz.

Nimekubali kweli wewe daladala kama jina lako lilivyo,
Mleta mada kakupa na kipengele kinachosema wasifu wa RMO, wewe unaturudisha kulekule, hayo ya AMO yazamani..sasa hivi kwa mwaka MDS ni wengi wanaomaliza hatuhitaji tena kuendelea na mfumo wa nyerere. Nahisi na wewe utakuwa moja wao.
 
meningitis,
Kama hutojali unaweza kutoa ufafanuzi wa hii qualification ya RMO ya kwamba;

The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized
university with a postgraduate qualification in Public Health and training in
leadership and management.

Kwenye RHO na RNO imekuwa very clear kwamba lazima mtu huyo awe na University Degree au Advanced Diploma. Lakini kwa hii ya RMO imetajwa kwamba awe ni "graduate". Nini kime Ni lazima uwe md. Kwa vigezo vya sehemu ambazo kila mtu anatakiwa afanye kazi. Inategemewa kwamba hospitali ya mkoa iwe na mds na specialists watupu, hospitali ya wilaya iwe na mds na amos wachache. Sasa hata rank za uongozi zinakwenda hivyo. Ndo maana hawajasema uwe specialist ila uwe na md na mph as mph ndo kozi ya uongozi kwenye afya. Hii ni sawa na ya mbaruk kuteuliwa kuwa jaji akiwa hana llb! Mbona hili mlishabikia? Vitu viko stipulated kabisa, nini usichoelewa?
 
Last edited by a moderator:
chuki nyingine sio issue nafikiri una chuki na huyu bwana, kwani elimu ulionesha hukusema kama ana masters yoyote na mimi nilisoma naye masters. huna uhakika na history yake umesikia sana maneno ya watu

hata mbaruk alisoma masters lakini hafai kuwa jaji kwa sababu hana llb. Tusiishi kwa kuvunja sheria kisa uzoefu na masters wakati sheria tumeziweka wenyewe. Kwani kwenye vigezo wameweka basic qualification ni masters? Imeandikwa kabisa awe medical doctor na mph. Huyo wenu ni medical doctor?
 
Mkuu nimekuelewa, nadhani siasa ndio zimewavuruga zaidi kuliko uhalisia. Na kutoaka na hali hiyo mmejikuta mnabaguana na kudharauliana wakati ukweli wa mambo ni kwamba wote mnahitajiana na kutegemeana. Katika kada nyingine hizo siasa za Advanced Diploma Vs Bachelors zilishazikwa siku nyingi na watu wanachapa kazi vizuri.

ndo maana wamefuta hizo advanced diploma. Hivi hujiulizi kwanini institutes kama ifm,tia, hawatoi tena advanced diploma? Hivi unajua kwamba md siyo bachelor degree kama unavyofikiri? Hiyo ni muunganiko wa bachelor mbili ambazo ni bachelor of surgery and bachelor of medicine.
 
Ma MD wengi ni vilaza,yaani,hawajui kazi na kwa sababu hizo bado AMO watapeta sana

tatizo pharmacology inawapiga chenga. Na wagonjwa mnapenda mjaziwe dawa mikononi kumbe mmepewa dawa za aina moja. Pumbaf, mtu anakupa amoxylin, ampicilin na kukuchoma penicilin unaona anajua kuliko aliyekupa ampicilin peke yake. Mnajazwa sumu tu mwilini. Wameandikiwa na guidelines lakini wapi! Anyway hiyo siyo hoja, hoja hapa ni kwa nini sheria zikiukwe? Ina maana simiyo yote haina md? Mbona kuna watu wako bariadi, maswa,meatu na ni wazoefu wa siku nyingi tu? Au tunaendekeza mambo ya kujipendekeza sana? Wito wangu, MDs nendeni wilayani mkahudumie watanzania, ni wakati wa amo kurudi shule au kwenda kwenye level inayoendana na wao.
 
Waziri atengue uamuzi huu ili kunusuru ngumi kupigwa katika maeneo ya kazi.
 
Hivi ninyi MD mnajiona so special sana theory yako kuwa nzuri wakati haimsaidii mgonjwa ndio nini wakati AMO anauzoefu na kazi anatibu wanapona ukumbuke lengo ni mgonjwa kupona hapa sisi theory haituponyeshi huyu AMO hata kama hajui reasoning lengo amelifikia ni kutuponyesha.Mtabaki kulalama tu mtaani ooh AMO sio Doctor wenzenu wanapiga kazi tena wanawaajili kwenye hospital zao na AMO wanaaminika kazi wanajua mnaaply theory za vitabu kwenye nchi yenye dawa feki lukuki wagonjwa wasipo pona mnaonekana hopeless lakini MD wengine mmezidi ujinga hamjiongezi mnauzi sana mnapochagua maeneo ya kufanyia kazi,kazi hamfanyi kazi yenu ni kujishika mifukoni hasa wa muhimbili wacha AMO wapige mzigo akiliiwasogee.

Duh?!..mkuu, so remember it is theory that makes a distinction kati ya mpiga ramli na mwanasayansi mkuu!

And boldly you have the guts to say, theory haimsaidii mtu...now hii ndiyo tunayosema kuwa AMO wanafanya kazi kwa mazoea,.."aah, unajua kama amekuja na c/c hii na hii Dx yake ni hii, kana kwamba each disease ina pathognomonic symptom"...tumaongelea thinking outside the box.

Lete data hapa kuwa, AMO wanafanya kazi kuliko MD..nadhani unapaswa kutofautisha vituo "vingi" na kufanya kazi sana!

To be honest, i dont think MDs "wanajiona" speacial, it's just that AMOs make MDs look speacial!
 
hivi ndivyo vitu anavyokataa Tundu Lisu....majaji vihiyo na madaktari vihiyo.

HUYU BWANA HANA MAKOSA JAMANI, MBONA HATA NAIBU WAZIRI WA AFYA Dr. RASHID NI AMO. NCHI YOTE INAONGOZWA NA VILAZA SASA MNATEGEMEA NINI NDOMAANA MAENDELEO HAYAJI.
 
HUYU BWANA HANA MAKOSA JAMANI, MBONA HATA NAIBU WAZIRI WA AFYA Dr. RASHID NI AMO. NCHI YOTE INAONGOZWA NA VILAZA SASA MNATEGEMEA NINI NDOMAANA MAENDELEO HAYAJI.

huyo ni mwanasiasa.na hakuna sheria ya waziri au naibu wake ateuliweje kama kwa RMO/DMO. Tusipindishe vitu vyenye utaratibu kwa kufuata visivyo na utaratibu.
 
Kwakifupi amo mwalimu wake md, nenda mbeya tanga na kungineko kwenye vyuo vya amo, utakuta md ndo mwalimu wake, sasa mnabishana nini, aliye juu mpandie usimngoje chini kuna sunami sikuhizi, amo jipangeni mkasome, na ndio maana mkiomba kusoma mnaanza mwaka wakwanza na si vinginevyo, hii inaonyesha system haiwatambui, iweje uwe na a.m.o then uende muhimbili au imtu na kuanza first year.
So hicho cheo kama kuna md hapo inabidi apewe ila kama hayupo basi a.m.o mshikie kwa muda nadhani soon atakuja.
 
tatizo pharmacology inawapiga chenga. Na wagonjwa mnapenda mjaziwe dawa mikononi kumbe mmepewa dawa za aina moja. Pumbaf, mtu anakupa amoxylin, ampicilin na kukuchoma penicilin unaona anajua kuliko aliyekupa ampicilin peke yake. Mnajazwa sumu tu mwilini. Wameandikiwa na guidelines lakini wapi! Anyway hiyo siyo hoja, hoja hapa ni kwa nini sheria zikiukwe? Ina maana simiyo yote haina md? Mbona kuna watu wako bariadi, maswa,meatu na ni wazoefu wa siku nyingi tu? Au tunaendekeza mambo ya kujipendekeza sana? Wito wangu, MDs nendeni wilayani mkahudumie watanzania, ni wakati wa amo kurudi shule au kwenda kwenye level inayoendana na wao.

Mkuu Nyalotsi, usemacho ni kweli...unaweza kukutana na mgonjwa ambaye haitaji med. intrvention yeyote..lakini asiamini, "aaminivyo" yeye ni kuwa akipewa dawa "nyingi" ndiyo atapona..mara ngapi utakutana na mginjwa while taking Med hx..maswali kama ya FSHx, PMHx, hawataki kusikia wanakwambia wanahitaji tu DAWA?!!

same thing applies surgeries, hakuna indication ya surgery watu wanafanyiwa, wengine wenye indication ndio kwaaaanza wanasubiri Fistula, Vifo, n.k vikitokea lawama irudi tena kwa madaktari!!!

Jamii yetu mara nyingi hawana uelewa wa kutosha katika fani/taaluma, na baadhi ya watu kwa kujua hilo..wanawatumia, lakini madhara yakitokea wote mnafanywa scapegoat!
 
Last edited by a moderator:
hippocratessocrates Nadhani naelekea kukuelewa isipokuwa bado kidogo tu hapo kwenye elimu.
AMOs wanahold Ordinary Diploma ama ni Advanced Diploma? kwakuwa hizo ni ngazi mbili za kitaaluma zilizo tofauti. Mtu mwenye Ordinary Diploma akitaka kujiendeleza kitaaluma anaweza kusoma Bachelor ama ADvanced Diploma ambazo ni level za juu yake kielimu.

Katika mjadala huu tangu mwanzo imetajwa kwamba RMO mteule wa Simiyu ana Advanced Diploma, lakini kwa maelezo yako hapo juu ni kama vile unasema RMO mteule ana ordinary diploma. Hapo ndipo ningependa kupata ufafanuzi wako ili nikuelewe vizuri.

Kukuweka sawa mkuu, mimi niliwahi kufundisha A.M.O school wakati nipo kijana mwenyenguvu, mara baada ya kumaliza MD nikapangiwa kwenda kufundisha A.M.O. Tofauti iliyopo kwenye sekta ya Afya nikwamba Advance Diploma hii ya afya sio equivalent Degree of Doctor of Medicine. Na A.M.O anapo-apply kufanya MD anaanza first year coz system haimtambui. Hiki kivuli kipo Only TZ. Nimezunguuka duniani sijawahi kuona kitu kama Advance Diploma in Clinical Medicine. Nakila nilipo kuanajitambulisha katika CV yangu kuwa na wafundisha hawajamaa wadau wengi wa afya walionekana kutonielewa na sema nini,
Kwasasa hivi kuna mpango mathubuti unakuja ilikuondoa hili swala la A.M.O na kuwapa degree ambayo itakua BSc in Clinical Medicine. Mchakato huu upo hapo wizarani na nadhani muda sio mrefu kupitia msaada wa USAID basi majengo yatapatikana na kuwawezesha hawawenzetu nao kutambulika duniani. In mean time tofauti ipo na inatambulika kisheria kua A.M.O sio sawa na MD.
 
Yale yale, hakuna tatizo hapo ila yale yale aliyosema kikwete TATIZO NI HULWA na wala si utendaji.

Poleni sana
 
Kumfananisha AMO na MD ni sawa na kumfananisha mwalimu wa UPE na lecturer wa chuo kikuu.
Nimefundisha AMO, na nimewafaulisha ili wakafanye kazi tu; maana ningekuwa strict hakuna ambaye angefaulu. Thinking capacity ni ndogo mno, na hakika nikiumwa siwezi tibiwa na AMO, ataniua.
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ana roho ya wivu na inawezekana ametoka katika ukoo wakimaskini na wachawi ,ukienda kwa ulinganisho huo mbona viongozi waliopo madarakani wanaelimu ya chini kuliko wanao wangoza kwa hiyo ipitiwe orodha yote nchi nzima kufanya hayo mabadliko? Pili hao MDs wanaomaliza chuo kwa sasa mbona ni vilaza wakutupwa,tunaona madudu wanayofanya ya kitaaluma pamoja na ya kiutawala. Kamwombe basi CMO akuteuwe wewe uwe RMO wa huo mkoa mpya. Nikupe mfano kidogo tu pale Bugando Mkurugenzi wa pale ni Specialist wakati walio cnini yake wana Phd.hapo vipi?
 
Kumfananisha AMO na MD ni sawa na kumfananisha mwalimu wa UPE na lecturer wa chuo kikuu.
Nimefundisha AMO, na nimewafaulisha ili wakafanye kazi tu; maana ningekuwa strict hakuna ambaye angefaulu. Thinking capacity ni ndogo mno, na hakika nikiumwa siwezi tibiwa na AMO, ataniua.

Shame upon you, wale waliopasua kichwa badala ya got walikuwa ni AMO pale Mhimbili ,mbona MD Walio wengi tunawana ni bongolala .Nadhani mtu kama wewe nihatari katika jamii kufaulisha wanafunzi ili hali hakufaulu .
 
Mkuu we gule, kwa mfano uliotoa huo wa Bugando ni jambo la kawaida, they both have MDs.Unaweza kulinganisha hapa MNH pia Mkurugenzi Dr. Marina Njelekela ni Dr..lakini chini yake wako Profs. wengi tu.

..ukifuatilia vizuri hapo BMC aliyekuwa mkurugenzi Dr. Majinge(SENIOR), alianzia Certificate till akawa specialist...alikuwa AMO, akaenda kusoma, MD then specialization.

Nadhani, wengi wetu tunadhani MDs hawawatambui AMOs merely, lakini tazama statistics au recognition ya AMOs in CDC, WHO kama utaipata..jambo moja la msingi hata kama hawatambuliki, yet wana chance ya kusoma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom