Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
umesema vema. Vile vile, wkt AMO anafundishwa jinsi ya kupasua, MD anafundishwa
1. When to cut
2. What to cut
3. How to cut
4. When and what not to cut.
Na hao wanaodai CO na AMO ni wazuri kuliko MD, kwa kigezo cha uzoefu, wanashindwa kufikiri.
MD akitoka chuo, ni wazi akimkuta AMO kazini, atakuwa anazidiwa skills, but baada ya muda fulani, MD anakuwa safi kwa skills na theory, wkt AMO anajua skils tu zaidi.
Na ikimbukwe kuwa MDs ndo walimu wa AMO kwenye vyuo, chini ya Specialist.
Wengi wenu wanamtazama MD anaeanza kazi tu, bila kujua kuwa kuna MD wapo kazini kitambo na wanapiga kazi.
Ht huyo AMO akitoka chuo akamkuta MD, atakuwa mweupe kwenye skils na atahitaji kujifunza na kupata uzoefu.
Na hao jamaa wanafanya malpractice nyingi sana huko wilayani, na ht malalamiko ya rushwa hosp, wahusika waku ni hao junior cadres.
Hivi ninyi MD mnajiona so special sana theory yako kuwa nzuri wakati haimsaidii mgonjwa ndio nini wakati AMO anauzoefu na kazi anatibu wanapona ukumbuke lengo ni mgonjwa kupona hapa sisi theory haituponyeshi huyu AMO hata kama hajui reasoning lengo amelifikia ni kutuponyesha.Mtabaki kulalama tu mtaani ooh AMO sio Doctor wenzenu wanapiga kazi tena wanawaajili kwenye hospital zao na AMO wanaaminika kazi wanajua mnaaply theory za vitabu kwenye nchi yenye dawa feki lukuki wagonjwa wasipo pona mnaonekana hopeless lakini MD wengine mmezidi ujinga hamjiongezi mnauzi sana mnapochagua maeneo ya kufanyia kazi,kazi hamfanyi kazi yenu ni kujishika mifukoni hasa wa muhimbili wacha AMO wapige mzigo akiliiwasogee.