ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
JangwaniDah si wangplan kujenga Dodoma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JangwaniDah si wangplan kujenga Dodoma!
Mimi kama Mchaga wa Kilimanjaro siungi mkono Hoja, Ukumbi huo uje kujengwa Kilimanjaro, Eneo nitawapa. Wazo ni zuri, mama akijenga kura za 2025 tunampa yeye, na hatutampa kura hizo kaka yetu Mbowe
Wewe unapenda kulaumu sana! Ujue pia kuwa mradi huyo tokea upendekezwe leo ni zaidi ya miaka 16 Magufuli na Kikwete ndo wakulaumiwa! Ila sioni mantiki maana AICC itakuwa kwa ajili gani?Huo ulikuwa mpango wa siku nyingi sana... sema toka Magufuli aingie madarakani mradi ule mkubwa ukawa umekufa kwa maji...
naona mradi huo umerudi tena ... hongeara sana
Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram
"Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER."
"Kitakuwa na sifa zifuatazo;
1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000
2. Eneo la maonesho lenye kuchukua watu 10,000
3. Hoteli 2 za Nyota Tano zenye uwezo wa kulaza wageni 1,000
4. Majengo ya nyumba za kuishi (apartments)
5. Kumbi ndogo za mikutano
6. Majengo ya maduka (shopping malls)
7. Nyumba za kulaza watu mashuhuli wakiwemo Marais
8. Maeneo ya kupumzika (recreation areas)
9. Maeneo ya burudani
10. Bustani"
Kila la kheri @aicc_jnicc kwa mpango huu mkubwa."
Plan ilikuwepo kabla ya hata ya awamu ya tano.Dah si wangplan kujenga Dodoma!
Tunaogopa wakenya watasema ni ya kwao.Mount Kilimanjaro halafu mnakijengea Arusha, kwanini isiwe Mount Meru Convention Center?
Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram
"Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER."
"Kitakuwa na sifa zifuatazo;
1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000
2. Eneo la maonesho lenye kuchukua watu 10,000
3. Hoteli 2 za Nyota Tano zenye uwezo wa kulaza wageni 1,000
4. Majengo ya nyumba za kuishi (apartments)
5. Kumbi ndogo za mikutano
6. Majengo ya maduka (shopping malls)
7. Nyumba za kulaza watu mashuhuli wakiwemo Marais
8. Maeneo ya kupumzika (recreation areas)
9. Maeneo ya burudani
10. Bustani"
Kila la kheri @aicc_jnicc kwa mpango huu mkubwa."
Mapato yatakayopatikana hapo yatarudi kwa Wananchi kufanya shughuli za kimaendeleoWakati wananchi wanakufa kwa kukosa maji safi wao wanafikiri kujijengea ufahari! Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Mimi nilidhani vipaumbele vingewekwa kusaidia wananchi kwanza na siyo vitu vya kifahari.
Wananchi waendelee kufa huku wakisubiri mapato ambayo mafisadi wa CCM watayamega kwanza!Mapato yatakayopatikana hapo yatarudi kwa Wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo
AICC tutawapa DP World watunzie makontainaWewe unapenda kulaumu sana! Ujue pia kuwa mradi huyo tokea upendekezwe leo ni zaidi ya miaka 16 Magufuli na Kikwete ndo wakulaumiwa! Ila sioni mantiki maana AICC itakuwa kwa ajili gani?
Masikini hawatakaa waishe hata serikali ifanye nini,Masikini walikuapo toka enzi za Yesu au Nabii Issa na atarudi hawajaishaWananchi waendelee kufa huku wakisubiri mapato ambayo mafisadi wa CCM watayamega kwanza!
Toka lini hilo limefanyika?Mapato yatakayopatikana hapo yatarudi kwa Wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo
Mnashindwa kutoa ardhi tu ya stendi ya mabasi ijengwe kubwa ya kusasa ndio mtoe ardhi kubwa kwa mradi.mkubwa kama huoo?Mimi kama Mchaga wa Kilimanjaro siungi mkono Hoja, Ukumbi huo uje kujengwa Kilimanjaro, Eneo nitawapa. Wazo ni zuri, mama akijenga kura za 2025 tunampa yeye, na hatutampa kura hizo kaka yetu Mbowe
Unajua kusoma kwa ufahamu? Ni wapi nimesema mpaka maskini waishe? Unajua hata serikali inavyotakiwa kufanya kazi? Inaonekana wewe ni wale limbukeni wasiojua hata maana ya serikali na inatakiwa ifanye kazi namna gani!Masikini hawatakaa waishe hata serikali ifanye nini,Masikini walikuapo toka enzi za Yesu au Nabii Issa na atarudi hawajaisha
Acha serikali ifanye jambo inaloona linamanufaa,Serikali ikisikiliza wabongo wanao lia lia kwa kila kitu haitafanya chochote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaogopa wakenya watasema ni ya kwao.
Sawa mtaalamu mbobezi wa uchumi 😊,Wewe unajua kuliko serikaliUnajua kusoma kwa ufahamu? Ni wapi nimesema mpaka maskini waishe? Unajua hata serikali inavyotakiwa kufanya kazi? Inaonekana wewe ni wale limbukeni wasiojua hata maana ya serikali na inatakiwa ifanye kazi namna gani!
Tunataka mkataba wa bandari kwanza ..huo ukumbi akakae yeye na mkeweAmeandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram