ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa niniBasi nchi hii itaendelea kuwa masikini kwa mtazamo huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa niniBasi nchi hii itaendelea kuwa masikini kwa mtazamo huo.
Haya yanapaswa kufanywa na sekiya binafisi na sio.Serikali, kama hadi nyakati hizi Serikali inajenga Hoteli na.kumbi za mikutano ni too badAmeandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram
"Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER."
"Kitakuwa na sifa zifuatazo;
1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000
2. Eneo la maonesho lenye kuchukua watu 10,000
3. Hoteli 2 za Nyota Tano zenye uwezo wa kulaza wageni 1,000
4. Majengo ya nyumba za kuishi (apartments)
5. Kumbi ndogo za mikutano
6. Majengo ya maduka (shopping malls)
7. Nyumba za kulaza watu mashuhuli wakiwemo Marais
8. Maeneo ya kupumzika (recreation areas)
9. Maeneo ya burudani
10. Bustani"
Kila la kheri @aicc_jnicc kwa mpango huu mkubwa."
Nchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tuHuyu mama huyu,,, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na moyo wa kijasiri zaidi usiokata tamaa mapema ili aendelee kutuhudumia na kutuletea maendeleo watoto wake!!!!
Nani atakuja Moshi? Kuitwa Mount Kilimanjaro ni kuuenzi mlima kilimanjaro siyo mkoa wa KilimanjaroMimi kama Mchaga wa Kilimanjaro siungi mkono Hoja, Ukumbi huo uje kujengwa Kilimanjaro, Eneo nitawapa. Wazo ni zuri, mama akijenga kura za 2025 tunampa yeye, na hatutampa kura hizo kaka yetu Mbowe
Jambo gani jema? Serilali kujenha Mahoteli? Huu ni ujinga na wanafanya kwa.sababu wanajua Watanzania ni wajinga sana, Hii ni kazi ya Private Sector na sio Serikali,Jambo jema kabisa
Serikali kuujingiza kwenye Biashara za Mahoteli na Malls.ni.uwenda.wazimu, Hata Cuba hawafanyi huu ujingaDah si wangplan kujenga Dodoma!
Hujafika maeneo hayo, tofauti ni kubwa sana, we umeshasikia mkutano wa kimataifa umefanyika mji wa Moshi, Hiyo ni miji miwili tofauti kabisa hata kwa hali ya hewa.Chino wan man.
Sijui kwanini sionagi utofauti wa Arusha na KLM. Nawaona wote sawa...
Mradi ya kingese hii how come Serikali ijenge Mulls na Mahoteli? Nitafutie Dunia nzima Serilali inayo fanya ujinga wa aina hiiWewe unapenda kulaumu sana! Ujue pia kuwa mradi huyo tokea upendekezwe leo ni zaidi ya miaka 16 Magufuli unamlaumu lakini Kiwete unamuacha!
Wajengaji wakubwa wa hayo mahoteli bila shaka ni wazungu au waarabu......tena nafikiri waarabu ni zaidi. Sasa wakiletwa si mnapiga kelele hamuwataki hao mnawataka wengineNchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tu
Jambo gani jema? Serilali kujenha Mahoteli? Huu ni ujinga na wanafanya kwa.sababu wanajua Watanzania ni wajinga sana, Hii ni kazi ya Private Sector na sio Serikali,
Una akili sana mkuu, pia nashangaa sana sema nchi kweli ina wajinga wengi sanaNchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tu
Serikali kujenga Hoheli na Maduka ni zaidi ya upumbavu, ni wajinga kweli kama nyie mnao weza sapotiWajengaji wakubwa wa hayo mahoteli bila shaka ni wazungu au waarabu......tena nafikiri waarabu ni zaidi. Sasa wakiletwa si mnapiga kelele hamuwataki hao mnawataka wengine
Kwani kuna mtu ana hati miliki ya hilo jina, mbona Kilimanjaro Hotel iko Dar. Haya majina ni ya kitaifa, unaweza kujenga Ngorongoro Hotel Mbeya. Nchi ni moja hayo ni majina ya vivutio vya nchi, Acheni maubaguzi ya kipuuzi.Mount Kilimanjaro halafu mnakijengea Arusha, kwanini isiwe Mount Meru Convention Center?
Hizi ni project za kutafutia sifa pia wanajua sisi watanzania tunapenda starehe sana ndio maana. Wananchi wanaisha kwa umasikini huko vijijini wao wanawekeza kwenye maduka huwezi wakauta kwenye project za kupunguza uamsikini kuna day watakuja na Project za Baa za Serilali na kawa tutashangilia.Mradi ya kingese hii how come Serikali ijenge Mulls na Mahoteli? Nitafutie Dunia nzima Serilali inayo fanya ujinga wa aina hii
Mount Meru Hotel ni ya tangia enzi ya mwl. Nyerere na ni ya nyota tano. Mbona iko barabarani tu km unatoka Moshi eneo la Sekei.Kenya hakuna Mount Meru ile Meru ya Kenya ipo Mount Kenya
we una uwezo wa kwenda kulala hiyo hoteli. Hoteli ni kwa ajili ya biashara na shughuli za kimataifaHizi ni project za kutafutia sifa pia wanajua sisi watanzania tunapenda starehe sana ndio maana. Wananchi wanaisha kwa umasikini huko vijijini wao wanawekeza kwenye maduka huwezi wakauta kwenye project za kupunguza uamsikini kuna day watakuja na Project za Baa za Serilali na kawa tutashangilia.
Unaona sawa Serikali kufanya biashara sa Hoteli? Wewe naye ni wale wale tuwe una uwezo wa kwenda kulala hiyo hoteli. Hoteli ni kwa ajili ya biashara na shughuli za kimataifa
Piga kazi mama mpaka waone aibu watanzania tupo na wewe.
bt mikoa hio ni kama mkoa mmoja wanatakiwa kuifanya kanda ya kitalii kimkakati nasio moja inyanyuke moja idumae ukitafiti hali za hewa zinakaribiana kitu wageni wanapendelea sana nchi imelala hii.Chino wan man.
Sijui kwanini sionagi utofauti wa Arusha na KLM. Nawaona wote sawa...