Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Huo ulikuwa mpango wa siku nyingi sana... sema toka Magufuli aingie madarakani mradi ule mkubwa ukawa umekufa kwa maji...

naona mradi huo umerudi tena ... hongeara sana
Wewe unapenda kulaumu sana! Ujue pia kuwa mradi huyo tokea upendekezwe leo ni zaidi ya miaka 16 Magufuli na Kikwete ndo wakulaumiwa! Ila sioni mantiki maana AICC itakuwa kwa ajili gani?
 
Wakati wananchi wanakufa kwa kukosa maji safi wao wanafikiri kujijengea ufahari! Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Mimi nilidhani vipaumbele vingewekwa kusaidia wananchi kwanza na siyo vitu vya kifahari.
 
Waache wizi
AICC ipo
Mikutano ya nini?
Zoom ipo wasituchukulie poa
 
Wakati wananchi wanakufa kwa kukosa maji safi wao wanafikiri kujijengea ufahari! Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Mimi nilidhani vipaumbele vingewekwa kusaidia wananchi kwanza na siyo vitu vya kifahari.
Mapato yatakayopatikana hapo yatarudi kwa Wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo
 
Wewe unapenda kulaumu sana! Ujue pia kuwa mradi huyo tokea upendekezwe leo ni zaidi ya miaka 16 Magufuli na Kikwete ndo wakulaumiwa! Ila sioni mantiki maana AICC itakuwa kwa ajili gani?
AICC tutawapa DP World watunzie makontaina
 
Wananchi waendelee kufa huku wakisubiri mapato ambayo mafisadi wa CCM watayamega kwanza!
Masikini hawatakaa waishe hata serikali ifanye nini,Masikini walikuapo toka enzi za Yesu au Nabii Issa na atarudi hawajaisha

Acha serikali ifanye jambo inaloona linamanufaa,Serikali ikisikiliza wabongo wanao lia lia kwa kila kitu haitafanya chochote
 
Mapato yatakayopatikana hapo yatarudi kwa Wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo
Toka lini hilo limefanyika?
Hebu tutajie kiasi cha mapato yaliyorudi kufanya maendeleo kutoka
Ttcl, Atcl, TRL, Nhc,
 
Mimi kama Mchaga wa Kilimanjaro siungi mkono Hoja, Ukumbi huo uje kujengwa Kilimanjaro, Eneo nitawapa. Wazo ni zuri, mama akijenga kura za 2025 tunampa yeye, na hatutampa kura hizo kaka yetu Mbowe
Mnashindwa kutoa ardhi tu ya stendi ya mabasi ijengwe kubwa ya kusasa ndio mtoe ardhi kubwa kwa mradi.mkubwa kama huoo?

Kaeni na ardhi.yenu jazeni tu makaburi

Waachieni mikoa mingine isiyo na ubahili na Ardhi yao kwenye uwekezaji
 
Masikini hawatakaa waishe hata serikali ifanye nini,Masikini walikuapo toka enzi za Yesu au Nabii Issa na atarudi hawajaisha

Acha serikali ifanye jambo inaloona linamanufaa,Serikali ikisikiliza wabongo wanao lia lia kwa kila kitu haitafanya chochote
Unajua kusoma kwa ufahamu? Ni wapi nimesema mpaka maskini waishe? Unajua hata serikali inavyotakiwa kufanya kazi? Inaonekana wewe ni wale limbukeni wasiojua hata maana ya serikali na inatakiwa ifanye kazi namna gani!
 
Sawa mtaalamu mbobezi wa uchumi 😊,Wewe unajua kuliko serikali
 
Tunataka mkataba wa bandari kwanza ..huo ukumbi akakae yeye na mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…